Habari kaka Michuzi,

Kuna mdau naona ana wasiwasi kwamba ile picha ya wali ya kombe la Barclays Premier League ni mambo ya Photoshop. Mi ningependa kumshauri kwamba, asikate tamaa, hakuna lisilowezekana, ni kiasi cha kukusanya mijiheeela yake na kwenda pale Old Trafford kisha akalipe pound 13 tu kwa kila picha (kupiga na Kombe). Kumuondolea wasiwasi, nimeona nimtumie picha zingine nikiwa nimelikumbatia na akibisha tena nitamtumia picha nikiwa nimelimeza kabisaaaa!!!!

Poa mwana;
Tumaini Sangija.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Tatizo huyo jamaa badala ya kuscan hizo picha, yeye kazipicha picha, thus hata quality ya picha yenyewe haieleweki

    ReplyDelete
  2. Oya Sangija long time mshkaji!! si unakumbuka enzi za Msazengo kunradhi Mazengo!!!!
    Kumbe upo kwa bibi?? tuwasiliane mkuu kwa email hii gingi50@yahoo.com (Ema).

    ReplyDelete
  3. Sangija, Big up mwana wa MAN Utd!! Hilo ndilo chaguo bora!!! Penda wasipende EPL ni kombe letu tuu pts 5 hazitutishi...azzie53@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Duu ebwana upo unaendelea kubeba Box tu. Huyu jamaa ni mmbeba box mzuri huyo ana nguvu sio za kawaida. Namkumbuka kuna sehemu tulikuwa tunabeba nae box alikuwa anabeba isivyo kawaida. Mie mwenzio nilisharudi nilikuwa natafuta tu kamtaji kwa sababu hiyo kazi inaweza kukuhasi hivi hivi. Mtu unabeba box lakini hiyo mijamaa inakunguka kodi hiyo we acha tu. utakuta per hr unapata paund 5.21 lakini kodi wanayokata ni kama wanachukua yote. Haina tofauti kabisa na utumwa. Bado hawa jamaa wanaendelea kuwafanya jamaa zetu watumwa kabisa ila wenyewe wamefurahi nipo kwa BIBI!!!! UTUMWA HUO.

    ReplyDelete
  5. we Sangija wewe, utaacha lini ubishoo? mtoto mshamba kama wa mkoani bwana, noma hiyo.

    ReplyDelete
  6. Ebana Sangija c kifala ebu limeze kabisa waosha vinywa wasukutue fresh.Uko ndani ya ThEatre of DreaMzzzz!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Mie Sio Manchester United ni Arsenal ila nikweli jamaa kapiga hizo picha kweli kinawezekana hiko kitu najamani tuwacheni majungu mtu akipiga box yote nikazi angalau hafanyi kazi za magendo mungu asizopenda kazi ni kazi kijana mrizishe mungu sio wanafiki kama hawa wanaopiga majungu yasio kuwa na akili hawa ndio ambao zamani mtu kama issa michuzi wanamuona mpiga picha tu hana dili sasa hivi wanamuonea wivu kila sehemu anakanyaga wewe endelea kubonyeza hapo ikibidi bofyaaaaaaaaaa. wacha majungu kijana toka kwenye godoro usitumie muda wako mwingi kwenye net katafute kazi kama uko ofisini basi fanya kazi yako wacha ku chat tu.

    ReplyDelete
  8. sangija usisahau kwenda mtaa wa pili kuwasalimia mabwana zenu Man city.Jana uliona mpira wa watu wazima blackburn waliunguzwa mara mbili.

    ReplyDelete
  9. Watu bwana,

    mnatoa big-Up za buuureeeeeeeeeee,

    Yan mnashindwa hata kubaini mambo ya Photo Shop hayo??

    Hizo anazitengenezaga michuzi, bei yake ni poa tu.

    yaan hata ukitaka uonekane we ndio Umelibugia (acha kumeza) inawezekana kabisa,

    huyu jamaa jana nimekutana nae Tandale kwa Mtogole akiuza magazeti, wala hayupo Nje wala nini

    ReplyDelete
  10. Mazengo line hiyo naona,...enzi hizo ! Mwongozo, Ujamaa, Mwenge, Azimio.
    Tuwasiliane basi kwa hii e-mail: vincentpc999@yahoo.com.
    All the best.

    ReplyDelete
  11. ....teh teh teh! Pinda! wee kweli umepinda! umenichekesha si mchwezo, mwana!!! teh teh teh!

    ReplyDelete
  12. heeeeeeeeeee mbona nyie waongo huyu kaka ni moenzi wa moira hivyo mwachenitu!!
    kazi ni kazi haijalishi kubeba box au nini.. kaka endelea na kazi wewe usifate maneno ya watu na picha zako ni nzuri

    ReplyDelete
  13. Na hilo lezajeketi...pia lakukodiwa!!!

    ReplyDelete
  14. Sangija ukishindana na wajinga utajiumiza kichwa bure tu. Niliona ile comment ya mtu anadai ni photoshop nikamwona noi mjinga.

    Achana nao hapo napajua na watu wansema ni phtoshop hata hawajui wanashosema.

    usijisumbue kumwelewesha mjinga...

    Unaona wengine wameshaona malisterine wameshaanza majungu @2.09 eti oh mimi nilikua napiga box lakini nimesharudi...Who cares....destiny ya mtu huipangi wewe...so shut up and mind your business...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...