sehemu ya barabara ya sam nujoma rodi penye daraja karibu na ubungo ns kona ya kuingilia mlimani leo. tunasubiri kwa hamu kukamilika ujenzi wa barabara hii muhimu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi na wadau wengine tupeni status ya barabara hiyo imefikia wapi hasa kwavile ujenzi wake umeanza muda kidogo.

    Nakumbuka pia barabara ya mandera ilikuwa kimeo kweli, mtu unaweza kuvunja meno ukiwa garini - nayo vipi????
    KG.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...