Michu,
hapa ni katika hoteli moja kubwa cape town ambapo baada ya kukosekana kwa umeme imebidi watu wa mapokezi watumia mishumaa. kumbe mambo kama haya si bongo pekee...

Mdau DRC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yaani sio siri michuzi nilikuwa huko kwa siku tano nikasema kumbe sio Tanzania peke yake kwenye mgao wa umeme tena nadhani kwetu ni afadhali mara mia michuzi. Ilikuwa adha tupu nilipotembelea kipande hicho.

    ReplyDelete
  2. Nako kule si ngozi nyeusi imeshika hatamu

    ReplyDelete
  3. Sishangai. Ni ulimbukeni na fikira fupi za watu weusi. Huo ndio ukweli. Na bado, mpaka wawe kama Zimbabwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...