kutokana na maombi ya wadau wengi nalazimika kuitundika tena picha hii ya wakongwe wa muziki bongo. toka shoto ni juma ubao (biashara jazz) , abdul salvador 'keydevu' (hisia sounds) , shaaban dede (sikinde), waziri ally (njenje) , sajini mstaafu kassim mapili (huru), george mhina (tanzanites) , komandoo hamza kalala (bantu) na john kitime 'jfk' (njenje). hii ilikuwa kwenye semina ya hati miliki iliyofanyika bagamoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hivi huyu Waziri Ally huwa hawezi kununa?

    ReplyDelete
  2. we Michuzi acha ushamba.
    Sio "haTI miliki" ni haKI miliki"
    Hatimiliki ni mambo ya Ardhi na sio mambo ya kopirait

    ReplyDelete
  3. Hapo kakosekana King KIKI na Bichuka

    ReplyDelete
  4. Wapi Muhidin Gurumo na Capt. John Simon?

    ReplyDelete
  5. Muhidin Gurumo...

    ReplyDelete
  6. Duh!! Michu nilimpoteza huyu kaka yangu Juma Ubao (King Makusa)mpe salaam nyingi ukimuona tena.. (dRU)

    ReplyDelete
  7. Huyo kitime namsikiaga toka niko mdogo akipigania haki za wasanii kwanini hawamtumii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...