
All for Africa "Knock Out Poverty" event
All for Africa is organizing a charity boxing event at the Arthur Ashe Stadium in New York on June 26, 2008. The event will feature top boxers from Africa as well as music entertainment by Grammy award winner artists John Legend from the US and Youssou N'dour from Senegal.
Prices range from premium ring side tickets $2500 to $100.
Advance tickets to All for Africa's 1St Annual "Knock Out Poverty" event are available for purchase of Premium seats for groups of eight or more and/or for any number of ringside seats. Premium boxes consist of eight seats each.
Feel free to inquire about our luxury suites with seating for twenty including dinner and drinks.
More info
http://allforafrica.org/AdvanceTicket.php
UMASKINI TANZANIA/AFRICA HAUTAMALIZIKA KWA MATAMASHA HUKU ULAYA NA MAREKANI. SANASANA, YANASAIDIA KUTUPAKA MATOPE, KWAMBA SISI NI MASKINI TULIO HOI! LAKINI KAMA TUNAVYOJUA, NA KAMA ALIVYOSEMA MZEE MENGI LAST WEEK, TANZANIA NI TAJIRI, WANANCHI NDIO MASKINI.
ReplyDeleteUMASKINI UTAISHA KAMA TUTAACHA UFISADI NA KUTUMIA PESA KUSOMESHA WATOTO WETU, KUJENGA BARABARA, MAHOSPITALI, KUSAIDIA WASIJIWEZA. VIONGOZI WETU LAZIMA WACHOKE KULALAMIKIWA NA WANANCHI, WAWE WAZALENDO.
UZEMBE WA WATU WACHAHCE AMBAO NI VIONGOZI WETU, KWA MFANO UNATURUDISHA NYUMA KIASI CHA KUSHANGAZA. FIKIRIA UMEME TANZANIA: VIWANDA VINAKUFA KWASABABU YA KUTUMIA MISULI BADALA YA MOTORS, WAGONJWA HOSPITALINI WANAKUFA KWA KUKATIKIWA NA UMEME, MAJUMBANI WATU WANAONDOA VIFAA VYAO VYA KISASA NA KURUDI NYUMA KWENYE MKAA NA VIBATARI, HAYA YOTE KISA WACHACHE AMBAO TUNAWAITA VIONGOZI WETU WAMEFANYA MAMBO YA KIBINAFSI YA RICHMOND,IPTL,ETC! FIKIRI HAWA WANGESAINI MIKATABA YA HAKI, TUNGEKUWA NA NAFUU KIASI GANI?
FIKIRIA HAYO MADINI YETU, BUZWAGI NA NDUGUZE WOTE, KAMA VIONGOZI WETU WANGEJIFUNZA KUTOKA BOTSWANA KWA MFANO, TUKAWA NA HISA KAMA TAIFA(SIO KODI NAMRAHABA PEKE YAKE), NA WAKAELEKEZA NGUVU ZOTE KUJENGA NCHI, TUNGEKUWA WAPI SASA?
KWA KIFUPI, VIONGOZI WETU WASIO NA UZALENDO NDIO WANAOTURUDISHA NYUMA. HAKUNA IDADI YA MAONESHO HUKU ULAYA NA MAREKANI INAYOWEZA KUTUSAIDIA KAMA VIONGOZI WETU HAWATAKI KUJENGA NCHI.
CHA AJABU NI KWAMBA WANASAHAU KWAMBA NA WAO WANAISHI HAPOHAPO NYUMBANI TANZANIA. WAKILIHARIBU, HATA WAO HAWATAKUWA SALAMA. HILO WAKAE WAKIJUA
Huyo mtu kwenye picha mbona kama anafanana na waziri wetu mkubwa aliyeteuliwa karibuni au ni macho yangu na mipombe ya pasaka, maulid na longest weekend ya 2008??
ReplyDelete