mdau mujuni wa dar anasema mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. bongo tambarare jamani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ni kweli, ila tatizo bado liko kwenye yale maeneo ambayo watu wa mipango miji hawajapashuhulikia ipasavyo.Natamani Michuzi uwapelekee ujumbe.

    ReplyDelete
  2. kweli tambalale, na ni tambalale mpaka mifukoni, ukimsachi hapo hana hata mia mbili.Si unamcheki hilo poz, anatamani hayo maji yasingekuwepo angekatiza kwa miguu hadi magorofani, hana nauli. Mweeee!!!!

    ReplyDelete
  3. Huyu mtu mbona kakaa kama kibaka

    ReplyDelete
  4. Jamaa wa lifeboti mko?inaonekana yakhe kaganda, isiwe mkachelewa na mjomba azame!!!

    ReplyDelete
  5. Mi naona huyu anasubiri kuzamia meli ili aje majuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...