Napenda kuwajibu wadau wa maoni, kuwa mimi sikuwa nahitaji mchumba, kama walivyo niambia wengi sana kuwa wamenitafutia mchumba, sijui huyo Manka, sikuwahi kusema hata siku moja jambo hili ndani humu, msinipake matope.
Mimi sina haja ya kutafutiwa na mtu yoyote mchumba, natafuta mwenyewe, samahani sana wadau.
Mimi ninae wangu wa moyo huyo hapo mwoneni, na wala siogopi kumwonyesha. Nyinyi tu mshindwe na huyo dada yetu.
Ninawacheka kwelikweli ha ha haaaaa...!!!!!!!
Kutoka hapa Italy,
ninawasalimu sana wote!
Ni mimi wa siku zote:
B.F.CHIBIRITI
Chibiriti ,
ReplyDeleteNimefurahi sana kukuona tena . Nadhani utakuwa umenunua fenicha mpya sasa... By the way mama nimemkubali ila anaonekana kaenda umri kidogo.
Sasa ndugu yangu Chibiriti ckisa cha kuoa mzee ni kipi??? We mbona kijana sana kwa huyo Ajuza?? Aaaaah Chibiriti cuna visa!! Haya bwana kufa kivyako!!
ReplyDeleteMamaaaaaaaaaa mmakonde kaopoa mzungu wamakonde wote watamkoma
ReplyDeleteha ha ha ha ha huyu bro ni mwisho kwa vitimbwi.Keep it up bro.
ReplyDeleteCesena Papers a.k.a MAKARATASI
ReplyDeleteChibiriti mi nilidhani we umekunywa maji ya bendera ya CCM, so utasoma then urudi home kujenga taifa, kumbe na wewe wa kuzamia, OK,,,
ReplyDeletesasa jamani, makaratasi mengine yanasikitisha, sasa karatasi la Cesena litakufikisha wapi ndugu? au kwa vile kuna maShengen, so baadae utakimbilia KUNAKO NAFUU...?
Huyo ni host mother wako au? mbona ni mzee sana kuliko wewe? Au ni kwa mwendo wa dimi moore tu siku hizi...
ReplyDeleteI'OH state cercando quella cosa soltanto? Uraia ???? lascili sguardi di know...sh e un poco più vecchio di voi
Chibby eeh, huyo mwanamke mpenzi wako au Godmother, mana naona kazeeka usoni sana na pia anaonekana ana mawazo....usije kuwa unamuombaga vihela upeleke kwenye ukoo wa Chibbys uliowaacha afrika...
ReplyDeleteTulivyokwambia tumeposea Manka, sio kwamba hatujui kuwa huko uliko una njungu, lakini tunataka njukulu za nchaga, umechikia chana na huyo njugu kaa nae upate kalatachi yako bachi lakini chie tunasema hiviiiiiii, kuoa utaoa nyumbani fullstop. He by the way tumeshaanza kukusanya michango ya harusi, na itafanyikia kati ya Cesena na Dar na si Cesena wala Dar. Halafu Dah Big Up Chilibiti nafikiri kiatu unavaa size 10 na si 9. Kazi kwako Manka, ongea na jamaa huyo si umemuona mwenyewe amepanda juu kweli kweli, kazana mtoe huyo mtasha uchukue taji! Lakini na wewe inabidi ulete picha yako kwenye blogu hatuwezi kukupa kaka yetu Chibiliti bila kukuona tusije nunua mbuzi kwenye gunia bure!
ReplyDeleteSifa zote anazo,
1. kidhungu anajua tena mpaka kitaliano nini kiingereza
2. Mwanaume wa shoka, mrefu kama ulivyotaka na kuzidi.
3. Kiatu size 11.
4. Mambo mengine kama unavyoona kwenye picha inajieleza.
5. IQ iko juu sana kukushinda kama picha inavyoeleza
Sema kitu kingine ila sasa zoezi limebadilika itabidi Manka ndio atume sasa barua ya maombi kwa Chibiliti tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu maana mtaka cha uvunguni sharti uiname.
wewe chibiriti mwehu nini mbona unachanaganya habari halafu nani amekuuliza kuwa wewe unaye wako..wewe ni mwehu nini..
ReplyDeletemshikaji huyu demu ni bomba kichizi usiwasikilize watu. ila sikuona la maana ku-prove kuwa una mpenzi.
ReplyDeleteKAKA HIVI HUKO ITALY HAKUNA MADUKA YA FANICHA? MWENZANGU HIZO FANICHA HATA ZA SENGEREMA NZURI....I KNOW YOU ARE PROUD OF YOUR LADY, SIJUI NI LIFE INSURANCE, ILA INABIDI UMPIGE MSASA AWE COMFORTABLE MBELE YA KADAMNASI.....
ReplyDeletechibiriti mambo? hatufahamiani ila tu nimekuwa nikisoma hapa majibizano ya email.
ReplyDeletekama dada nakuomba achana na kujibizana na hawa watoa comment za kukejeli hawana lolote la maana watakuudhi tu . uliyempenda wewe ni wewe mtu asikuambie nini au kuhusu fanicha haimhusu mtu .achana na watu wenye mawazo finyu ndio za wabongo hizo.
Haya makaratasi naona sasa yanatupeleka pabaya
ReplyDeleteAma kweli kufa kufaana sasa Chibby ni ili na wewe uambiwe una mzungu au? inaelekea kakuzida hata zaidi ya miaka 15 mbona mbibi sana? usije naye huku bongo utatutia aibu mtu wangu.
ReplyDeleteA.H.W (From B)
Yaani huyu Manka na kujisifu kote kule kumbe hii ndio taste yake.
ReplyDeleteViwango ninavyo ila siamini kama Manka anani desrve!!
Wewe Chibiriti,....kwanza habari za siku ? Hivi huyu kibibi ndio mpenzi wako wa roho kweli? DU! ama kweli wewe si mchezo; Ukipata makaratasi kimbia haraka sana kwa mbio zote,....mbona kaenda umri sana ! hakuna vijana huko ? Omba wadau wakusaidie kumpata kijana. Ila hongera huyo atakuwa mkeo peke yako wala usiwe na hofu kama kuna mtu atajaribu kuongea naye.
ReplyDeleteHilo jibaba lizungu linawachukueni nyie wote au imekuwaje mpaka linawabeba?
ReplyDeleteChibby, hongera bab kwa kuopoa.
ReplyDeletemambo yako makubwa.
Chibiriti ndio mdau haswa wa bulogu yetu hii.
Haya makaratasi haya yatatuua nasema.... Aiseee mbona Manka miaka 28, huyo akikutana mama yako.. mama yako si inabidi aangushe shikamooo.... Anyway, nimewasiliana na Manka amesema yupo tayari hata kuwa mke mwenza...
ReplyDeleteKumbe ile PC ndo alikua anaitumia alivyokuwa kigoliiiiiiii...
Sir CHIBILLITI WEWE UMEMPENDA USIJALI UMRI.."..JAMANI USIMTUKANE MKUNGA..$%^&#@...UZAZI UNGALIPO.."
ReplyDeletemapenzi hayachagui umri wala rangi mwache chibiriti atulie na wife wake!wivu tu unawasumbua nyinyi kwani hata kama ni kwa makaratasi nyinyi inawahusu nini?mnaona wivu maana nyinyi hata hao wa makarasi hamjawapata!na mtatia akili nyinyi mnaomponda huyu kaka wa watu!
ReplyDeletekaka Chibiriti big up!achana na wadau wenye wivu!
Mdau France
NYINYI VIPI NYINYI KAMA MZEE SHIDA YENU HIKO WAPI? YEYE KASHAAWAAMBIA ANAMPENDA KWA MOYO MMOJA HILO NUNGA EMBE LENU MANKA MKAMTAFUTIE SOKO SEHEMU NYINGINE. AGE IS JUST A NUMBER.MANKA MBONA MSICHANA MDOGO ANA ANGAIKA KUPATA MCHUMBA KWANI WATU HAWAMUONI? CHIBIRITI NAKUUNGA MKONO ENDELEA KUPATA KILE ROHO INAPENDA.
ReplyDeletemichu mbona mimi sijawahi kupiga picha na mzungu.
ReplyDeleteUmeamua kuoa ajuza ili kulamba makaratasi ya Italy sio? Hongera mzee. Vp kwani huko uliko hakuna vijana nini? Karibu Marekani
ReplyDeleteEeeehhhh ! Chibiriti wa Chibatari huyo ! Mimi chichemi kitu; Ila naona umechaanza vitimbwi vyako tena kwa mtindo mwingine ? Ila kala chumvi kipenzi chako cha roho. Kule kwenu Mchumbiji mbona wako vijana kibao, ngozi bado nyororo; sasa hicho kibibi utaenda nacho wapi ? Duu ! kazi mbona bado unayo CHIBI.... WA CHIBATARI.
ReplyDeletechibiriti, you are thw man, usiwasikilize washenzi wowote, wewe ni mwanaume wa shoka, uko proud na mke wako ndiyo maana umeamua kumuweka hadharani, hawa wachonga midomo wanakuonea wivu tu. mke wazo ni mzuri, dont mind the fools.
ReplyDeleteHAHAHAHA, aisee hapa pamenoga sasa michuzi usiache kutuletea hizi hadithi tamutamu
ReplyDeletengoja nichukue popcorn kabisa na pepsi baridi nijiandae kwa hii muvi najua bado haiishi saa hivi
Chibiliti komaa hapohapo mwanangu! Makaratasi oyeeeeee! Nakuombea umpate Barak Chibiliti atakayegombea urais wa Italia miaka 40 ijayo. CHIBILITI FOR PRESIDENT 2050!
ReplyDeletechibiriti usisikilize kitu demu mkali hata hivyo ng'ombe hazeeki maini, hao wanaosema kizee waambie watutumie picha za wake zao waliooa viboonge ma matumbo mawilimawili
ReplyDeleteCHIBIRITI, HUO MKONOZ WA KULIA UNAELEKEA WAPI TENAAA, AFANALEKI...
ReplyDeleteItaly, ni kawaida, Wakina Mama wanapenda vijana wadogo wa kiume, so kwa CHIBBTS, hiyo sio issue ni kawaida sana. Hakuna cha kushangaza, na kama huamini, Chunguza.Mapenzi hayachagui nway, Dada Manka labda atalearn kitu hapo.HONGERA
ReplyDeleteUkisikia donge ndio hilo...... Jamani huyo bado ni msichana kabisaaaaa. Picha isiwatishe, nendeni mkamuone. Anayesema kuwa Chililiti kapata mzee, baso leteni picha za hao wenu humu ndani ya blog tuwaone. Na kama ni ajili ya makaratasi nyie cha wauma nini??? Wengine mna haha kuyatafuta na hampati.. LOL
ReplyDeleteMama lao
UK
whats happening in the'HEAVEN OF PEACE'playerz,golddiggaz mko wapi,mpaka manka anatutafuta sisi proper men,tulio nje ya mipaka.na wewe mfanyakazi wa ndani,changamkia tender,stage aliyofika manka anything on two legs will do.unfortunately mimi i am above the gold digging stage,otherwise my dear manka you would have stood no chance of evading the net
ReplyDeletekwa kweli baada ya uchovu wa siku nzima kwenye vitabu na assignments,i chill out na michuzi nikiangalia waosha vinywa wakifanya vitu vyao.kwa kweli big up chibiliti nakufagilia vibaya mno.mambo yako simple tu wala hutaki makuu.watamponda barafu,fanicha na computer yako lakini ukweli unabaki mzee unafunika.hivi una miaka mingapi vile?
ReplyDeleteDuh HUYU DADA WA KIZUNGU CHUMVI AU KWA CKU IZI TWAWEZA KUSEMA (MILEAGE IMEENDA MNO 88,000.)
ReplyDeleteMILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
MILEAGE MILEAGE MILEAGE MILEAGE
Wadau Wa USA Mbona Mnajisikia Saaaana Kwa Kipi Lakini?? Yaani Mtu Akiwa Marekani Anajiona Yuko Peponi Sio?? Sasa Kosa Ni nini Hasa Kwa Chibiriti Kuoa Huyo Demu? Nani Hajui Kua Demu Au Mzungu Yoyote Mwenye Kuanzia 18 Anaoneka Jimama Au Jibaba?? Ukilinganisha Na Sisi Weusi.Mie Naenda 30 Karibia Lakini Nikisimama na 30 Wakizungu Naonekana Dogo.Nyie Endeleeni Kuchukua Hao 18 wenu Mzidi Kujiona Ma yoyooo Huku Umri Umeenda.Chibirit Umerenga Kaka Umri sawa sawa Na Ushauri Wa Kimaisha Achana na Hao Vodka RedBull Daily na Vitoto vidogo. Mkerwa
ReplyDeleteNjomba veve hatali chana njomba! Chacha hiyo njungu inakula pungo hiyo?
ReplyDeletemhh mke mwenyewe mzee mmhh
ReplyDeleteImefika Imefika Imefika Imefika saa na akati wakex2 wapambe wote poleni huyu ni mpenzi wanguuu, huyu ni kichuna changuu, huyu ni choise yangu, simwachi hata kwa ngumi mapanga na majambia, hamjui ananipa nini , hamjui anitunza vipi hamjui ananipa nini niacheni. RAHA NAIJUA MIE NIACHENI NA WANGUUUUUUU......Ah mambo ya mzee yusufu hayo wanajilia nyama yao ya kasa ndani kwa ndani wajitikisia najiamini napendwa, jamani raha kupendwa mungu tufungulie njiaaaa.
ReplyDeleteChibby achana na madongo yao hao wanakuchemsha tu hao, ila watajamba cheche mwaka huu. aluta kontinyuaaaa
nimekukubali mwana heri mkono uwende kinywani, hakikisha unatotoa kabisa ili ujihakikishie maisha, bongo michosho tu.
ReplyDeleteCHIBIRITI HATA SISI KUNA PICHA KIBAO TUMEPIGA NA WAZUNGU LAKINI SIO WAPENZI WETU!!INAWEZEKANA HUYO MWANAMKE ULISOMA NAE NA SIO WA KWAKO!!HALAFU ISITOSHE HUYO MWANAMKE ANGEKUWA NA RANGI NYEUSI ANGEKUWA MBAYA KICHIZIII,LAKINI WEWE UNAONA DILI SANA KUOWA MZUNGU!!
ReplyDeleteMNAOMSHAURI CHIBBY ANUNUE FANICHA MPYA MI NAONA MNAKOSEA MAANA MZUNGU MWENYEWE WA LONG HERI NA FANICHA ZIWE ZA LONG HIVYO HIVYO
ReplyDeleteChibiriti is a real man....achana na the rest behind Anony curtains!
ReplyDeleteHongera sana...hata kama kikongwe si chako! hawahawa walikuwa wanamsema manka alipotoa CV ya mume mtarajiwa......leo wewe ''kundondokea'' penzi la kikongwe imekuwa issue. Achana nao
Chibby naona umeopoa 'brunette' la kizungu. kweli wewe mkali maana ungekwenda kwa 'red-hair' wakizungu ninekushauri bora umpose Manka.
ReplyDeleteKweli Chibby ulaya unaijua huendi kichwa-kichwa. Najua ma-Brunette hawavutiwi na 'bling-bling' kama za ma-brother-meni wa Marekani. Chibby endelea na msimamo wako wa kuwa mtu simple, mtu wa watu na kipenzi cha wadau wa blogu hii.
Mdau
Montana,Canada.
CHIBILITI TUNAKUAMINI SASA WEWE NDIO STAR WA BLOG HII
ReplyDeleteWatu wananishangaa, kumpenda kikongwe x2
ReplyDeleteNakupenda bibi Kizeeee, Nampenda kikongweee x2
Umenielewa baby, umenielewa kikongwe weeee x 2
Lako busu linanichanganya, ah linanichanganyaa,
Nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwee x 2
Japo domo lako linanuka tumbaku, mchanganyiko goro na pombe,
Mimi nakulamba aaa, mimi nakulambaa,
Nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwe x 2
Umenielewa baby,
Umenielewa kikongwe weee?? x 2.
Nimeukumbuka sana huu wimbo aliimbaga Picco
mbona mchumba mwenyewe kibibi?? mh makaratasi yatatuua mwaka huu, haya bwana all da best kwa kuziba mapengo..
ReplyDeleteMDAU AMSTERDAM
HAHAHAAAA!!!!!!!!!!!!! WOTE MNAOMPONDA CHIBIRITI MNA VIJIBA VYA ROHO YU.KWANZA MKASOME VITABU MJUE MAANA YA MAPENZI NI NINI, KISHA MJUE UMRI UMEKWENDA WAPI? NININI? BAADA YA HAPO MTUAMBIE MAHUSIANO YA HIVYO VITU. CHIBIRT AMEPENDA PENZI HALIANGALII UMRI NDO HAYOHAYO MNAANGALIA UMRI MNALAZIMISHIA NDOA ZINAKAA USIKU MMOJA TU? UZEE WA HUYO MAMA MNAUONEA WAPI AU MMEUPIMIA MIZANI GANI? KAMA MNAMMAINDI CHIBIRT SEMENI TU MWAMBIENI JAMANI! KULA KITU ILE ROHO INAPENDA SIO KUMRIDHISHA ALIEKO KULIA,KUSHOTO MBELE WALA NYUMA HAMNA JEMA KWA BINADAM
ReplyDeleteWEWE CHIBIRITI UNAFIKIRI KWELI UTAKUWA NA QUALITY ZA KUMCHUKUA MANKA SIDHANI MAANA MANKA ANATAKA WASOMI SIO MAGANDA YA ULAYA SASA HAPO UNGESHINDWA KIDOGO MAANA SIDHANI KAMA SHULE HAPO IMENYOOKA ILA MJARIBU.MANKA ATISHIWI NA ULAYA SIUMEONA INT'S TU NYUMBA YA BABA SHULE SHULE MATAWI YA JUU ILA UKINIPA KIDOGO KIDOGO SIJUI VI EURO NITAONGEA NAE VIZURI MIMI NAMJUA TUMA NA WESTERN UNION BASI
ReplyDeletejamani Manka kanibonyezea Kizenji Chibiriti kamtumia Email ya maombi na Picha yake kumbe hapa anatudanganya weeeee
ReplyDeletechibiriti hilo jumba lenu kama museum, yaani nilipoliona tu nikaanza kucheka, any way linaendana na umri wa bi mkubwa
ReplyDeleteWADAU WANAOTAKA KUMWONA MANKA, NENDA GOOGLE, TYPE MANKA MUSHI,THEN INGIA GLOBAL PUBLISHERS, REGISTER, THEN INGIA KWENYE SITE SEARCH, TYPE MANKA MUSHI UTAONA PICHA YAKE...KAZI KWENU
ReplyDeletewewe kweli umechanganyikiwa naona sasa kibibi hichi unatuonyesha sisi wamakonde unamaana gani maaana kwanza kinaumwa na anytime kitavuta tuu naona unataka mambo ya urithi,napia huyu bibi na manka ni watu wawili tofauti hata manka menyewe akimuana hicho kibibi naona itakuwa kicheko cha mwezi mzima kwahi tafadhali usituonyeshe vigandaheka hapa na ushamba uliye kujaa kwa mzungu wenzako washakitomba hicho kizungu mpaka kimejichokea wewe ndiyo umekiambulia sasa hivi unaona umepata kumbe umepatikana ,babu achana na ushamba wa kuwa na mzungu asiye na maendeleo naona unalipishwa kila kitu hapo maana hata feniture ziro hapo unapoishi angalia babu usije ukarudi na chupi bongo maisha yenyewe kama uliyo yaacha nyumbani kwenu ni yaleyale hakuna kilicho badilika
ReplyDeleteYAANI HUYU MANKA MUSHI KUMBE ALIKUA MISS TANZANIA AU? SASA ANAWATIA AIBU MAMISS WENZIE
ReplyDeleteMakunyanzi kwenye macho hayadanganyi hata uyafiche vipi. Huyu ajuza kala chumvi sana. Mambo haya ndio mtaanza kuoa mama zenu mkitumia neno "mapenzi hayachagui umri". Ninajua Italy kuna vigoli vizuri sana kama mdogo ni mzito unaishia kula vikongwe tuu. Yaani huyu bibi kama angakuwa gari basi ni "rental" maana kina "mile" mingi sana.
ReplyDeleteKwa staili yake ya fanicha na mavazi hawezi kuopoa kigoli maana mavazi yake yanaonekana "antique" sana.
Bro. Chibiriti Big Up Sana! tulia naye huyo huyo mwache ahangaike huyo Nung`aemnbe, Pia Bro MICHUZI naomba nitoke nje ya mada ni kuhusu yule Mdada Ida Ljngqvist Mswedish / Mbongo manake cjaiona tena picha zake kny blog yako nito comments, jamani Flag ya Bongo Ina peperushwa kwa mtindo huu Mhhhh ! Hembu wadau Chungulieni hapa mi sisemi manake Hami Jay ntaonekana nachonga sana http://idaljungqvist.centerfoldheaven.com/. Nafunga Mjadala Wadau, Kaka Michuzi Arsenal Haooooooooo Robo Fainali UEFA CL !
ReplyDeleteKweli Chibiliti anapendwa. Ona maoni yanavyomiminika! Angekuwa mtu mwingine usingekuta hata comments mbili, lakini kwa Chibiliti 50 comments na bado zinakuja! Ukirudi mkuu chukua fomu ya ubunge na ukiupata usimsahau Michuzi kakutangaza vilivyo!
ReplyDeletewewe kaka Michuzi mbona hii issue umekuwa a big fan of it....au huna important issues/info tena???
ReplyDeleteHuu upuuzi please trahs it. hawa watu hawana life..mara Steve Mxl, mara Manka, mara Chibirit...hizi personal forums anzisha a new site for it..a SPIN-OFF or something.
Yaani kama unatamani kucheka basi sema Mr Chibiriti a.k.a Chibi, Mimi namshauri arudi bongo ajiunge na kundi zima la Ze Comedy coz naona ni mchekeshaji mzuri ambaye halipishi mkwanja. Mr Chibi endeleeaaaaaaaaa tena mpe hi Shemeji ila inaonekana huko Italy, Shem ndiye under 18!!!lol
ReplyDeleteAsante mdau kwa kutfahamisha jinsi ya kumuona Manka nimekubali !mtoto .Manka anasifa zinahitajika
ReplyDeletekimaumbile..Ile urefu wake kadanganya kidogo , labda alipima wakati amevaa high hills
Huyu Chibiliti inaelekea ana kismati sana. Nashangaa waandishi wa udaku hawajamgundua hadi leo. Ukiona gazeti lako halitoki au mauzo yamekuwa duni, wewe andika tu habari za Chibiliti utaona litakavyogombewa! Chibiliti hoyeeeee!
ReplyDeleteMANKA S MUSHI:-
ReplyDeleteHUYO MANKA MUSHI MNAE SEMA SIO MIMI NIMEONA KILA BLOG WATU WANAFIKIRI NI MIMI SIO KWELI NIMEPOKEA EMAIL ZA WATU WANAOMJUA MANKA MUSHI HUYO MODEL SIO MIMI INSHORT NIKO KIMYA SANA NI KWASABABU NIMESAFIRI KWA HIYO MPAKA NITEGESHEE SEHEMU YENYE WIFI NDIO NIANGALIE EMAIL PIA NAJARIBU KUFANYIA KAZI TANGAZO LANGU NA KUSHUKURU SANA MICHUZI SO FAR SO GOOD NISISEME MENGI BADO KAZI NI NZITO SANA THANK YOU ALL FOR YOUR SUPPORT.HONGERA BWANA CHIBIRITI PARTNER WAKO YUKO VIZURI TU. I GUESS THEY DESERVE EACH OTHER. GOOD LUCK.
MANKA S MUSHI
Mikocheni( migombani Street)
HUYO MUNTU WENU MSHAMBA SAAAANA!
ReplyDeleteUKIWA NA MZUNGU HII "EU" YA LEO UNAONEKANA TU UNATAFUTA KARATASI.
AU ANAMBABAIKO BADO WA WAZUNGU.
WAKATI NDIO FIRST AID HUKU.
ACHUKUE MWANAMKE ADIMU(MWEUSI) ATUONYESHE NDIO ATUAMBIE TUSEME.
AWABABAISHE WANYALUKOLO NA NYANGALAKATA WENZIE SIO HUMU.
NA HUMU WAPO VILE VILE KIBAO!!!
NA WEWE MICHUZI HAUKATAI KITU!!
UNACHUKUA KILA KICHEFU CHEFU!!
EBWANA HUYU CHIBIRITI NI NOMA AISEE,EBU ONA WATU MLIVYOLUNDIKANA KUCOMMENT KWENYE MAMBO YANAYOMUHUSU BABU KUBWA CHIBI JAMII INATAMBUA UWEPO WA WATU KAMA WEWE AMBAO HAMNA SO WALA NINI MNAJIACHIA TU POA KK LIFE YA BON GO MSUMARI BORA UTOKOMEE TU ULAMINI{ITALY} TU BABU
ReplyDeleteManka Mushi au anon wa 14March 7.44 pm.
ReplyDeleteHuyo Chibiriti hivyo ni vimbwanga vyake tu na watu wanampenda kwa hivyo vimbwanga vyake. Huyo bwana kapanda juu si mchezo na IQ yake kama ile uliyokuwa unatafuta. Kiatu kinazidi size 9, ndio maana watu wakasema huyu Chibiriti anamfaa Manka kwa kuwa vigezo vyote anavyo. Sasa wewe usitishwe na huyo mzungu kama kweli unamtaka Chibiriti tuma picha yako kwenye blogu, tunakuhakikishia utampata. Sisi ndiye tunamjua bwana Chibiriti wewe usikonde wala nini, na hicho kibibi cha Kizungu wala kisikutishe.
Tutumie picha basi tuanze kazi mara moja, kuna watu wengine kibao wamejitokeza pia na wakiona picha watazidi kujitokeza. Funga midomo ya waosha vinywa. Manka tuko nyuma yako na tuko tayari kukusaidia kupata mwenza, hata ikibidi kuanzisha shindani la Beauty and the Geek tutaanzisha au Bachelorette.
ndugu chibiriti kama huyo manzi wako atataka kutafsiriwa yaliyoandikwa na wadau humu ndani basi nahakika hakukuchi utafungishwa virago.
ReplyDeleteSasa hata kama ataoa huyo kijana na kama hakuna maelewano au mapenzi ya dhati baina yao itasaidia nini? Mapenzi hayachagui rangi, kabila umri,umbile au hata dini, kwa vile mapenzi iko mapenzi tu. Wacheni ujinga nyie wabongo mnaemsagia Chibi!! "Akutukanae hakuchagulii tusi" Keep up bro.Chibi.
ReplyDeleteManka kumbe unapitia huu mtandao sikujua kama unapata nafasi ya kusoma maoni haya. Nimekuandikia ushauri kwenye blog ya Dada Chemi hebu pitia huko utauona. Nimeona hapa wanakushambulia sana nikaamua nipitishie kule maana kidogo kuna unafuu wa maneno yaliyoandikwa. Nakutakia kila la heri, hebu yazingatie yale nilokuandikia pale.
ReplyDeleteANON 8:34.00 UNATIA KICHEFCHEF, "EU" YA LEO SI MAKARATASI, NI SKILLS! UCHUMI UNAHAMIA MASHARIKI SIKU HIZI..WEWE UMENG'ANG'ANIA MAKARATASI, KALAGABAHO! SIKU HIZI NI MAPENZI TU, DUNIA NDOGO KAKA, HAO WAZUNGU WENYEWE WANAHAMIA KWETU SIKU HIZI...CHIBIRITI HOYEEEEEE!
ReplyDeleteHivi watu wengine meumbwaje?. Wallahi Tanzanian hatuendelei sababu tunapenda sana kusimangana. Haya nyie vinyago mnasema sijui bora arudi kwao, sijui anakaa na huyo mwanamke kisa anapewa pesa atume nyumbani. Mwayajuaje yote hayo? Kwani akiwa na mtu mzima ni yeye na ni mkewe, kwa lipi muumie roho na kumsimanga kaka wa watu kama nyie ndo mtoao vitu vyake vya kila siku (food,clothes etc). Duniani kuna kitu kinaitwa "Kuchagua". Sasa yeye amemchagua huyu dada awe mkubwa awe mdogo penzi ndo lishajengwa maneno yenu yatieni mfukoni. Baadhi yenu hapa mnaakaa kuandika maneno haya wenyewe wabaya mezeeka adi nongo kwenye kucha zenu alafu mnakaa hapa kumsema kaka wa watu na mkewe. Ebu katafuteni kazi mfanye. Kwani kua marekani sio deal sana mnabeba mabox, kusafisha wazee, na vinginevyo sasa hamna tafauti. Mkitaka kumsema huyu mama basi na nyie tafuteni wenu muwaeke hapa watu wawe ma judge. As far as i knoe i see nothing wrong wit her. She prolly looks good more than ALL OF YALL SISTERS.
ReplyDeletewajamani sikilizeni msimkandie demu wa Chilibiti, huyo sio mzee,ila ana look after her health,ndio maana anaonekana kama mzee.mmeshaona picha za Victoria Beckham mifupa mitupu na watu ndio wanamsifia yuko fiti.wabongo acheni sera zenu za kiti moto,michemsho,supu,mtakufa na magonjwa ya moyo,cholestral kibao,huyo dem wa chibiriti yuKO fit.BIG UP CHIBI.
ReplyDeleteMh wewe ulifikaje huko Ulaya we mshamba sana wa kimakonde.
ReplyDeleteHah wewe kuoa huo mzoga wenzako wanoukimbia huko ulaya unaona maana sana!!!
Mh ama kweli ukisikia neno NIGGA basi ujue ndio wewe ndugu. Maana unafit kabisa kwenye hiyo definition. WEwe unaona mzungu ndio kitu cha maana sana, kuja kuweka huku kwenye mtandao.
Nenda kasome taahira wewe.
manka, you say unatayarisha,tangazo lingine,be warned,be afraid,chukuwa wanaume huko huko africa,usingie kabisa anga zetu maana naona waume zetu manka this,manka that,we gonna fight to the bitter end if need be,if it turns ugly so be it.i would suggest any email from alaska,bin it
ReplyDeleteBlaza Chibi mbona hujibu makombora yaho? Mie huwa unanifurahisha sana ukiwatolea uvivu hao waosha vinywa. Hebu wajibu basi wakukome na mie nifurahi. Na swala la Demu wako hao wanaomsimanga mbona hawajatuonyesha wakwao? Hao ndio wamalizaji wa sabuni na lotion if you know what I mean.... guts za kupata totos hawana wanabakia kusema ooh mzee! ooh mbaya. Acheni majungu!
ReplyDeleteDaughter of Alaska mkwara mwingi mfungie jamaa kata hiyo broadband asiingie online maana nasikia MANKA atapita kila mji/nchi kufanyia audition sasa uwezikujua labda jamaa anaweza kukutoka kimya kimya mambo yakawa mengine ila siamesema qualifications muhimu jamaa kama unaona anamapungufu kama ya bwana CHIBIRITI usiwe na wasiwasi.MANKA uko wapi mbona kimya kingi karibia week hii sasa ujaleta taarifa ya maendeleo ya MANKA SEARCH tunasubiri
ReplyDeleteDuh! Kweli hii blog n mwisho wa confusion kichwani! Usipocheka hapa kwenye hii kona basi wewe Israel anakuita siku za karibuni!
ReplyDeleteJamani mbona mmemshupalia huyu Chibiliti hivyo? Kwani akioa mzee ni wenu? Kwa taarifa yenu Chibiliti kapendwa. Fanya vitu vyako Chibiliti. Watasema hadi watachoka.
ReplyDeleteANON 15 MAR 1:00 Umenichekesha mpaka nimetoa machozi hilo tusi la mkarafuuni umelitoa wapi, maana mpemba akikwambia MINONGOYO. alalalala!! ameunganisha mambo mengi kwa wakati mmoja nimekuelewa sana ndo maana nimecheka sana.
ReplyDeleteBy the way, Pole manka wa kimakosa hivyo ndivyo dunia ilivyo, wanaweza kukuchafua au kukupaka matope kwa usiku mmoja tu ukaonekana mavi kabisa, sitaki kuingia sana huko ila ninachopenda kukumbusha kuwa uhuru wa mtu uheshimiwe iwapo havunji sheria. Isitoshe, kila mtu anajinsi yake ya kutongoza au kujitongozesha kumbukeni mlipokua mnajitongozesha/mantongoza kwa yule uliyemuona anakufaa ulifanyfanyaje? utakuta hata wewe mwenyewe unajichora ingawa sisi hatukuwepo. sasa unapomlaumu manka mushi alipotuma andishi humu la kujitongozesha au kutongoza, sikuona kosa ila mngemshauri tu kwa nia njema, hasa kinamama wenye hekima wangeonyesha ukomavu wao humu kuwafunza wanawake vijana kwa kuwapa mafundisho (ushauri wa kumjenga mtoto wao) au chibby mi nashindwa kuwaelewa na kuwaweka kwenye lile fungu la wakina WATENDEWAO tu sioni baya alofanya chibiriti hapo.
Ninavyoona huyu jamaa ni mcheshi tu,huyo bibi hana uhusiano naye kimapenzi.Ametowa hii picha kuwapa waosha vinywa jambo la kusema.Si mnajuwa wabongo tulivyo.Hakuna cha makaratasi wala nini,ni utundu tu.Keep it up bro.
ReplyDeletehahahahaaa mnamsema chibiliti kapata kizeee duu nyie hamumjui chibiliti,subiri tu kesho kutwa atakutumieni birth certificate ya huyu dada muthibitishe kuwa sio kizee
ReplyDeleteNipo wazee sijakaa kimya nilikuwa nayasikiliza mawazo na malumbano yenu kuhusu mdada wangu. Nimefurahi sana kuona jinsi watu tulivyo na mawazo tufauti katika jambo lilelile. Ukweli unabaki palepale kwamba yule ni wangu wa moyo na mimi nitaendelea nae daimaaaa....!!!!! Wenye wivu na walie, wenye ushauri mzuri naupokea. Kwangu mimi ALUTA CONTINUAAAAA....!!!!! Manka mtake msitake ni wakwenu tuuuuu....!!!!
ReplyDeleteCHIBILITI SIO SIRI NDUGU YANGU KWA STANDARD ZA HUKU MTONI NA JINSI AMBAVYO NIMEONA WABONGO WENGINE AU BAADHI YA WATU WEUSI WENYE WAZUNGU...WEWE UNACHUANA KWA KARIBU KIDOGO NA SEAL NA HEIDI KLUM!! KUNA WATU WANA MIZIGO YA AJABU NDUGU YANGU!!! UNAHITAJI USHUJAA WA KINA CHIFU MKWAWA NA WENGINEO KUWEZA KUWA NA MIZIGO NAMNA HIYO, HIYO COUGAR POUWA KABISA NDUGU YANGU IKIWEZEKANA MUOE KABISAAA UNA UHAKIKA WA KUTENGENEZA VITU SIO VYA KAWAIDA, ANGALIA MBALI, NDIO UMRI LABDA UMESOGEA KIDOGO LAKINI KIMESIMAMA KULINGANISHA NA VITUKO AMBAVYO NIMESHAONA.
ReplyDeletehehehehe! waaambiee!! waaambieee kaka chibiriti hao wenye roho za kwanini. mijitu mingine bana yaani haina hata haya kusema wenzao vibaya,chibiriti huyo umpendaye hana uzee wowote ule ndugu yangu, hao wanaomuona mzee hawana jipya hao wanasumbuliwa na pure WIVU, sasa waache waendelee hao kuzeeka na miroho yao mibaya,wewe ni ALUTA CONTINUAAAAAA...!! mpende umpendaye manka waachie hao maana wanaonekana hawana haooo.
ReplyDeleteChibi,spero che' la raggazza non e' del est!Eh si,mi dispiacerebe vederti fregatto fratello!!
ReplyDeleteBuona fortuna!