ndinga zilizoisha muda wake wa matumizi zikipelekwa kutupwa dampo sehemu za frankfurt leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. HAYO MAGARI NI BORA UMUOMBEE MANKA MAANA YEYE ANATAKA MUME MWENYE MAGARI SASA KWA HASIRA MPE YOTE

    ReplyDelete
  2. HAYO MAGARI NI BORA UMUOMBEE MANKA MAANA YEYE ANATAKA MUME MWENYE MAGARI SASA KWA HASIRA MPE YOTE

    ReplyDelete
  3. HAYO MAGARI NI BORA UMUOMBEE MANKA MAANA YEYE ANATAKA MUME MWENYE MAGARI SASA KWA HASIRA MPE YOTE

    ReplyDelete
  4. michuzi si ungeongea na jamaa akakwachia halafu ukawaambia vijana wa bongoflava walipie nauli tu wajipatie vijigari angalau manake wanashida sana miguu imekomaa, vumbi kali mwisho sauti zinakwaruzakwaruza kwenye miziki yao

    ReplyDelete
  5. Duuh, huyu mshikaji kwa kamba!...aah kwa kweli sikuwezi michuzi....Hii ndiyo inasababishaga watu tukirudi bongo watu wanathubutu hata kutuagiza tuwaletee mchanga wa kiwanja waone unafanana vipi, kwa sababu ya watu kama wewe michuzi mnaowapiga watu fix....hizo ndinga zinaenda kuuzwa, labda mnadani huko..

    ReplyDelete
  6. mdau 9:35Pm hizo ni junkies kaka/dada huoni zilivyobondeka?Gari zinazokwenda sokoni haziwi namna hii.Inavyoonekana huko ujiji wanazisafirisha powa kuliko hapa usagara ambapo zinapondwa kama chapati kabla ya kuzirudisha mtamboni.

    ReplyDelete
  7. Halafu ndio yule mjasirimali wa Japani anataka kutuletea haya bongo. Wakati wengine wanayadump yeye analalamika kuwa wanawatoza ushuru mwingi kwa kuingiza magari mazee...

    Ujue hatutaki kuwa dumpo

    huko hata kudump gari unalipa

    ReplyDelete
  8. Wewe na Manka hapo juu mbona umemmind sana....unamtaka nini..?????.Hee!!!! story ya juzi ilishakuwa zilipendwa wewe bado uko na Manka Manka....

    kama unamtaka muemail au qualification zako chini ya magoti nini ???? ndio maana unatoa hasira huku...hebu tuondolee hayo mambo yalishapita...

    ReplyDelete
  9. Ndiyoooo...naona unayafuatilia kuona yanakotupwa ili uangalie jinsi ya kuyarudia

    ReplyDelete
  10. Kwa sie hapa ujiji hayo magari yaenda tupwa kweli sio utani. Kaka Michuzi haongopi jamani. Ujiji ndio yenyewe kwa utengezaji wa magari, magari yatengenezwa hapa kuanzia Porsche, mercedez, BMW etc. Tena karibu sana Michuzi huku Stuttgart na Munich

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...