VIP SECTION (250 tickets only):

1. Welcoming drink upon arrival
2. Copious appetizers (5 hot and 5 cold snacks per person)
3. Personal cash bars and waiters
4. Entry to VIP After Party with K-Ci & Jojo
5. Theatre seating in front of stage


NORMAL SECTION:
1. Welcoming drinking upon arrival
2. Entrance to the show
3. Cash bar in ground area
4. Standing concert

Tickets available at Movenpick Royal Palm, Sweet Eazy and The Living Room (Millennium towers)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duh hawa wanugu bado wapo hai? Hawana market tena ndio maana hadi shoo za huku dili

    ReplyDelete
  2. haki ya nani hela za BOT-EPA zimeleta inflation ya ajabu bongo
    $80 kumuona KCI and JOJO tena bongo? hapa usa tunalipa $35 - $40 bongo 50,000? kwa uchumi gani, tena kci&jojo?
    ngoja niendelee kupiga box tu

    ReplyDelete
  3. well nataka kuwaambia watanzania wenzangu kuhusu huu ujio wa hawa wanamuziki, kuna makala nilisoma hapa usa inasema kuwa hawa jamaa walishakufa kimuziki yaani sasa wapo wanalea familia zao tuu, sasa kuja kutumbuiza bongo ni kuwapa hela za bure maana hawapo kwenye chat za muziki tena, sasa watz muamue mnawapa hela tuu hawa baba wa nyumbani , kama ni kuwaalika kwaini walishindwa kipindi wako matawi juu, sasa wako chini wanataka kukusanya vijihela vyenu.

    ReplyDelete
  4. Sasa nyie mnaojua mambo ya uhakika mnaona huu ni upuuzi tu. Cha kushangaza huko Bongo wasanii na mashabiki wa Fleva wanaona ujiko ujio wa hawa ma-alosto. Hili ndio tatizo la kuiga-iga, yaani mpaka watu wanalaliwa hivi hivi for what?

    ReplyDelete
  5. Matter of fact jamaa wametoe album yao mpya 2008 inayoenda kwa jina la LOVE .

    ReplyDelete
  6. Hii kitu ndio ina-prove kwamba mambo yote ni mamtoni. Ninakubali kwamba nyumbani ni nyumbani tuu; Ila wale wala vumbi waliokua wanasagia wabeba mabox kua bongo kuna maendeleo makubwa ninafikiri sasa hivi watatafuta namna ya kufuta semi zao.

    "Garbage" ya mamtoni ni "Gold" ya nyumbani Tanzania. Safi sana!!!

    Poleni wala vumbi.

    ReplyDelete
  7. anoy hapo juu hivi we mgeni na wabongo?wabongo kwa sifa ndo mwake,kunaweza kuwa na mwanamziki au tamasha lolote wakasema vip ni laki 1 lakini watu wakajaa ukumbini mpaka wengine kukosa tiketi za kuingia tukokana na nafasi hamna tena.kweli bongo tambarare wallah

    ReplyDelete
  8. Wabongo najua tunapenda starehe, ndio maana kumbi za starehe zinajaa kila siku na show hii ya hawa 'zilipendwa' najua watu watajaa bila kuhofia gharama za kiingilio. Imagine mbongo anaweza kuafford ticket ya kuwaona Kci & Jojo kwa Tshs. 50000 and baada ya show akirudi nyumbani hakuna maji yanatoka kwenye bomba na unaishia kuoga na maji ya kisima!!?? hili ni wazo tu!!

    ReplyDelete
  9. Ni kweli kabisa Wabongo wanapenda sifa sana na kujifanya wako kwenye status ya juu. Naupenda msemo huu, nilisikia a while back "People tend to spend money they don't have to impress people they don't even like". Bongo mji mdogo watu wengi wanajuana kwa hiyo wanaona ni muhimu kuonekana uko tambarare kumbe si lolote wala chochote sifa tu. Save your money and use it wisely

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...