mamaa akielekea sokoni na dogi wake maeneo ya stesheni kuu ya hamburg

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mithupu unatupeleka huyu mama au baba?

    ReplyDelete
  2. michuzi na mimi ukiniletea digi kama huyo namtoa nje house made wangu dogi atakwenda yeye tu shopping

    ReplyDelete
  3. michuzi na mimi ukiniletea digi kama huyo namtoa nje house made wangu dogi atakwenda yeye tu shopping

    ReplyDelete
  4. Hii ni cheap labor to the fullest.

    ReplyDelete
  5. Huyo mbwa anaumia! ASPCA mko wapi?

    ReplyDelete
  6. ANGEKUA USA WANGESHAMBAMIZA HUYU...ANIMAL ABUSE...

    I hope for dinner huyu mbwa anakula fillet mignon only otherwise huyo baba/mama hana aibu kabisa

    ReplyDelete
  7. Mpelekee Mkwabi picha hii aiweke usitakenicheke, teheteheteheteh

    ReplyDelete
  8. Michu ! Baridi ya Jeruman imekupata mpaka machoni. Huyo sio mama ni dingi hilo.

    ReplyDelete
  9. Jamani wadau mimi niko speechless, huyo alobebewa kapu na dogi ni mama au baba au vyote?

    ReplyDelete
  10. Huyo Achumani mpaka afike dukani kikapu kin-jaa midenda wallahi.

    ReplyDelete
  11. Inaelekea kinamama wa Ujerumani wamekaa kiume... tuonyeshe basi na kina baba wakoje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...