bondia wa kimataifa wa zamani koba kimanga 'assossa' akimpongeza francis cheka aliyemtoa kwa KO hassan matumla juzi na kutwaa ubingwa wa dunia wa universal boxing association ukumbi wa diamond jubilee. assossa anatembelea magongo kwani bado anatibiwa jeraha la risasi aliyojipiga kwa bahati mbaya wakati akifukuza vibaka maeneo ya bustani ya mnazi mmoja gadeni. yeye ni askari kanzu wa polisi wa siku nyingi

Kaka Koba pole sana na ajali iliyokukuta ,Ishaalah mungu atakusaidia utapona haraka.
ReplyDeleteMdogo wako
KT ( JAPAN )
Kaka MiCHUZI hii ni pole tu haina majungu wala nini usiibanie!!!!
Nasikia Tysoni anatafuta mshindani,Yakhe uko tayari???lakini hifadhi hayo masikio!!!
ReplyDeletemichuzi samahani labda unaweza kutusaidia sisi tulio mbali na wapenzi wa ngumi, tufanyeje ili tuweze kuziona hizo ngumi za nyumabani hata zilizorekodiwa????
ReplyDeleteMan,I salute you.
ReplyDeleteLakini ugomvi wenu uishie jukwaani tuuuuuu!na sio kwingineko.Ila nampa changamoto huyu jamaa kusonga mbele kwenye levo za kimataifa zaidi na zaidi.
Mchangiaji,
Mbeya