Home
Unlabelled
kisiwa cha saanane mwanza mdebwedo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi naomba unichekie dili mi nataka kukinunua hiki kisiwa, nimetunza vihela fulani vya box naona hii itakuwa investment nzuri
ReplyDeleteWe anony wa 11:24 mjinga au nini?hata ukijiuza mnadani mara millioni mia huta weza kununua hicho kisiwa kwa sababu...'every inch belongs to the the people of Sovereign Tanzania'.
ReplyDeleteNasikia kulikuwa na mbuni hapo,je wametoroka kwa sababu ya njaa?ah siwalaumu kwani si hata wabeba maboksi wametoroka kunyemelea ughaibuni!!!
ReplyDeleteMIMI NI SHAHIDI WA HILI. MWAKA JUZI NILITEMBELEA HII HIFADHI.
ReplyDeleteWAKATI NAFIKA KATIKA OFISI ZAO KUFANYA TARATIBU ZA KWENDA MBUGANI MAELEZO NILIYOPEWA NA NILIYOYAONA HUKO YALIKUWA MAMBO MAWILI TOFAUTI.
NILIPEWA TAARIFA KWAMBA NITAPATA FURSA YA KUMWONA SIMBA, TEMBO, SOKWE, NA BAADHI YA WANYAMA WENGINE KAMA VILE FISI, TUMBILI NA SWALA.
SIMBA:
NILIPEWA TAARIFA KUWA SIMBA AMEPELEKWA DAR KATIKA MAONYESHO YA SABASABA. TAARIFA NILIZOPEWA NI KUWA SIMBA YULE NI MMOJA TU NA NI DUME NA HATA HIVYO AMEKUWA MPWEKE KIASI KWAMBA KITAALAMU ANAWEZA KUISHI KWA KIPINDI KIFUPI TU...
HUYU SIMBA ALILETWA AKIWA NA UKUBWA WA PAKA MDOGO, NA ALILELEWA NJE YA BANDA MPAKA PALE ALIPOANZA KUKIMBIZA WATOTO NA KUWAANGUSHA NDIPO WALIPO MFUNGIA NDANI, JAMANI KWA KIFUPI SIMBA HUYU HAJAWAHI KUISHI NA JIKE, JE HUU NI UNGWANA NA NI SAHIHI KWA HAKI ZA WANYAMA?
WADAU MKIONA BANDA LA SIMBA UTAOMBA MUNGU ASIWEPO, KWANI WAVU UMECHAKAA NA YULE SIMBA IPO SIKU ATAMRARUA MTU TU!
WAFANYAKAZI PALE WANATUMIA VIFAA DUNI SANA KWANI NILIMKUTA KIJANA MMOJA AKITUMIA JEMBE LA MKONO KUZOA UCHAFU KATIKA LILE BANDA LA SIMBA, NILIKAA PALE KWA MASAA NANE NA MPAKA NAONDOKA HAKUWA AMEMALIZA!
SOKWE:
KULIKUWA NA SOKWE MTU AMBAYE ALIKUWA NI KIVUTIO KIKUBWA SANA KWA WATALII LAKINI KWA BAHATI MBAYA SANA SOKWE YULE ALIPOTEZA MAISHA NI HABARI YA KUSIKITISHA KIDOGO LAKINI KWA UFUPI ILIKUWA HIVI.
SOKWE YULE ALIKWA MJAMZITO ILA KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HUDUMA NZURI KUTOKA KWA WATAALAMU WALE WASIMAMIZI HAWAKUGUNDUA KUWA NI MJA MZITO.
MPAKA ALIPOKARIBIA KUJIFUNGUA NDIPO WALIPOGUNDUA, WALIPOTOA TAARIFA KWA WATAALAMU MJINI MPAKA KUFIKA KUTOA MSAADA ILIKUWA TOO LATE...KWANI ALIKOSA MSAADA KATIKA KUJIFUNGUA NA MTOTO ALIPOTEZA MAISHA PAMOJA NA YEYE MWENYEWE.
KWA KWELI INATIA HUZUNI KWANI SOKWE YULE ALIKUWA KIPENZI CHA WENGI NA ALIKUWA ANAPENDA SANA KUCHEZA MZIKI NA KUNYWA BIA ANAPOFURAHI.
WITO WANGU KWA WAHUSIKA NI KUWA TUTHAMINI NA KUENZI VYANZO VYA MAPATO YA UTALII NA TISITHUBUTU KUVITELEKEZA.
INAVYOONEKANA TUNAJISAHAU KATIKA HILI, EMBU NENDA BAGAMOYO NA UTASIKIA HUZUNI JINSI VIVUTIO VILIVYOGEUKA KUWA MAGOFU NA MAGENGE YA WAHUNI, ANGALIA MAKABURI YA WAJERUMANI, ANGALIA NGOME YA KWANZA YA WAJERUMANI, ANGALIA BANDARI YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA NCHI HII KABLA YA BANDARI YA DAR ES SALAAM, ANGALIA SEHEMU WALIYOKUWA WANANYONGEA MASHUJAA WALIO PINGA UTAWALA WA WAJERUMANI, ANGALIA GEREZA LA WANAWAKE, ANGALIA GEREZA LA WANAUME, ANGALIA PALE WATUMWA WALIPOKUWA WANAWEKWA KUSUBIRI MASHUA, NA KAMA HIYO HAITOSHI ANGALIA MJI WENYEWE!!!!
Hebu Viongozi wa Mwanza oneni AIBU katika hili!Hizi kelele za kuendeleza Utalii nchini,ni danganya toto au?Kisiwa hiki ni kizuri na kingeweza kuwa kivutio kikubwa sana kwa watalii wa nje na hususan wa hapa nyumbani.'Dont forget,Pleeeeeeeeeeeeeaaase,The role of our Government is to create an enabling investment environment!Serikali hatutakiwi kujiingiza katika Biashara.Kazi hiyo tumewaachia sekta Binfsi.Sisi tumesha weka mazingira safi ya uwekezaji.SAFI YA WAPI?Mbuzi hawa!Ila katika Vijimikataba vya uwekezaji mtatusamehe,serikali bado itaendeleza libeneke.Kama unavyo jua sekta binafsi bado iko changa sana,hawawezi negotiations!Ama kweli tutafika.Vision 2025!
ReplyDelete