

.jpg)

naambiwa hivi sasa konyagi inatamba ile mbaya huko marekani, baada ya kupatikana wakala wa uhakika wa kusambaza kilaji hiki ambaye anapatikana mara moja kama ukienda hapa: http://africangin.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Misupu embu toa matangazo ya pombe. Wewe ni sheikh wetu una sigida huu mwenendo haufai.
ReplyDeleteNB: Tafadhali usiiruhusu comment yangu iingie globuni hii ni msg kwako tu. Ibane kiaina si unajua walevi wengi wanaingia humu sasa wakiamka lazima watanipaka.
Pole mdau wa kwanza.
ReplyDeleteInaonekana Michu hapendi umbea ameianika coment yako
Michuzi marekani kubwa sana. Mimi nipo NY city na wala sijaiona ni kwa mwendo wa absolut vodca tu huku na rum ya kaka zetu.
ReplyDeletehuyo hapo juu ni Dardaking nini?, duh, jamaa kweli ni jasilimali, kila kona limo tu. any way vidumu vya nyumbani.
ReplyDeleteKonkolomoko
Mbona bado website ni ile ile ya konyagiusa ya Bwana Julius Temu?
ReplyDeleteAu jina tupu la africangin.com ni gimmick tu ya kufanyia marketing?
ahahaahha, anon wa kwanza umejistukia eheh?? nimekusamehe leo ila siku nyingine unatakiwa utumie akili, mdini mkubwaa weee. kwani umeambiwa hii ni blog ya masheik tuu??
ReplyDelete