Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyu wa kulia kabisa anasumbuliwa na maradhi ya ubongo yajulikanayo kama 'ubongodizia' unao sababishwa na matumizi mfululizo kupita kiasi ya ugali wa mhogo ulioozeshwa na kukaribia weusi wa 'bada' waulize wazigua watakufafanulia.Maradhi hayo yasipo patiwa tiba mapema husambaa mwili mzima na kusababisha ugonjwa hatari zaidi wa 'bongopapatis' ambao dalili zake hufanana na mtu mwenye kifafa aliyezidiwa kisukari.Utafiti umebainisha kwamba watu wenye mardi kama hayo ni wepesi sana wa kupandisha hasira,wamejawa na wivu wa kupindukia,ni wagumu kutosheka kwa lolote jema,hupendelea sana majungu na kufitinisha watu wakosane ili wao wajinufaishe.Lakini ni wapole sana wanapokumbwa na kashfa au sakata za kisiasa.Kwa minenguo wao ndiyo mwisho.Hawafi haraka labda Mungu akiwachukua.Azawaiz ni watu wakarimu sana na pesa yao iko njenje!Hapa nchini wapo wachache sana lakini gonjwa hili liko hatarini kusambaa katika jamii yote iwapo Tume hazitaundwa za kutosha kufuatilia kwa karibu bila ya kuwastua wenyewe utafiti usije ukapotea kabisa Taifa likaangamia kwa maradhi yanayo tibika kwa kautafiti kadogo tu ambako jamani tusilisumbue Bunge letu,tuna vijana wetu wanao iweza kazi ya upelelezi!

    ReplyDelete
  2. inasikitisha kwakweli... Dar,maji ya kupima vya vidumu!i believe if more funds are directed to our country's development,we wouldn't be singing this song right now!!Nina uchungu na MAFISADI na viongozi wanao misuse misaada na mapato ya nchi to their own personal enrichment.
    The bottom line is kila mtu ana sense of selfishness,but tofauti ni to what degree???its one thing to embezzle funds with a good record behind you but its completely different thing to do so with nothing to hold on to,cause believe it or not you wouldn't want to be the only one left when the music stop singing.
    Think about that................

    ReplyDelete
  3. Tehetehe,hata nikiwapa basi ni ya kutu kama vile pale kigogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...