Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unajua Kp siku hizi anakosa majibu kwa sababu kashakuwa naye fiksadi na kapewa jengo moja la Richmond la kijitonyama na kitambi kinashuka kimtindo
ReplyDeleteKatochi)
Hivi kweli wananchi waliamini kuwa Rais amewafukuza wale viongozi kinyemela?
ReplyDeleteAliona soo imekuwa kubwa na Rais wa Marekani anakuja na ataona kama Kikwete hawajibiki hivyo hatotoa msaada wowote.
hivyo akawagawia ile hela ya Richmond na kuwaambia wauchune kwa muda mpaka wananchi watakapo sahau atawarudisha mmoja mmoja madarani.
Kipanya usishangae. Bongo tuna-recycle visivyofaa kuwa recycled. Hapohapo tunashindwa ku-recycle vinavyo-recyclica.
ReplyDeletePolitics is a dirty game!!!!
Sasa wabongo mnashangaa nini? Haya mambo yalikuwepo tangu zamani. Ni nani walioua mashirika ya umma yaliyokaribia 400 kama siyo wasomi walafi wa tanzania? Kila msomi alipoharibu kwenye shirika 1 mwalimu(JK Nyerere) alimuhamisha kwenye shirika lingine mpaka yote yakwawa hoi. Viongozi wengi wa sasa ni product iliyoua mashirika ya umma. Sasa unafikiri hawa viongozi wa sasa watafanyaje kama nao wanamuenzi Mwalimu?
ReplyDeleteWabongo ni watu wa amani, utulivu, umasikini, maradhi,uzembe kazini, ufisadi, kusifia/kupenda vya nje na kukandaia vya kwetu....hizo ndiyo sifa zote. Ni nani asiyejua mapambio yaliyoimbwa tangu enzi ili kupambana na rushwa tangu enzi za Mwalimu? dondoo: Azimio la arusha, fagio la chuma, uwazi na ukweli......TUFANYEJE?