Naona unajidai umesahau kesho ni GRAND SLAM SUNDAY Maana vibopa vinne wakandanda duniani wanakutana sasa naomba utabiri wenu wadau wa bwawa la maini.
Alafu Torres na Ronaldo nani zaidi maana Torres 27 goals all season yuko kwenye form nzuri na Ronaldo 33 goals mchezaji bora wa mwaka mtarajiwa.
Man utd wako point 3 clear ,chelsea na Arsenal hakuna mengi ya kusema maana form zao sio nzuri sana haswa chelsea kutoa draw ya 4-4 na Totenham inamaanisha defence imetetereka wakitoa draw ni bomba kwa sisi manchester united lakini tunaomba utabiri pia.
Haya kaka michuzi
From mdau William,
Manchetser united for life
Uk
PS: mdau william, kaka sijasahau wala nini, na tena sina wasiwasi kabisa juu ya hiyo kesho kwani kama unionavyo hapo napata bada kwa nyama ya swala leo break point, nikijiweka sawa kwa ajili ya hiyo kesho. mie naomba utabiri wewe na usiingie mitini tu...
-Michuzi
Home
Unlabelled
maandalizi ya supa sunday
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HAHAHAH
ReplyDeleteUmenifurahisha kaka michuzi , sitakukimbia kesho maana tuta wanyuka nyie acha ,lakini mhhh mnanitisha sasa maaana mko bomba sana tu haya
tusubiri ,umenitamanisha hilo Bada na Nyama mhhh
William
uK
Natabiri Liverpool 1-1 Man U na Chelsea 1-1 Arsenal. Mara nyingi hizi mechi kubwa huwa hazikidhi matarajio ya wengi. Easter njema.
ReplyDeleteMdau
http://drfaustine.blogspot.com/
kaka michuzi mi naona kama unaogopa ogopa vile,kweli utatoka kwa hawa jamaa?maana hata maneno yamekuishia,chakula hakipandi hapo nahisi, kazi moyo mwanawane.
ReplyDeleteMichuzi usiwe na wasi wasi kesho unaenda kumfunga kwao man united na unatoa hio record ya toka lini sijui ujamfunga kwao.na arsenal wanaenda kuvunja record ya chelsea ya kutofungwa kwao .
ReplyDeleteMan Utd. 1 vs. 1 Liverpool.
ReplyDeleteChelsea 1 vs. 0 Arsenal.
Mdau 125th st.Harlem.
(Mama)chster United(Damu Nyeusi sio Nyekundu 1 Own Goal Skartel. Bwawa La Maini au Wekundu wa Kweli Tutapiga Mtu 2 Torres na Babel. Tushachoka kuwa wanyela lazima tukubali tulikuwa wa nyela kwa muda mrefu tushachoka sasa Walete hao To-To-To-Torreeeeeeeeeeeees Charles Hilal msemo wake. Nyota wa Kesho ni Mascherano. Babu Ubani atautema. Chelsea 1 Arsenal 3.
ReplyDeleteReina
Arbeloa- Carra- Skrtel -Aurelio
Alonso- Masch
Kuyt/penannt- Gerrard -Babel(2)
Torres(1)
Bench Martin-Hyppia-Pennant/Kuyt-Benayoun-Kewell.
Mimi Kama Arsenal. Manchester united nzuri ila ukweli Liverpool kesho wanaweza kushinda ila manchester united 1 liverpool 0. Kuhusu C. Ronaldo na Torre Ronaldo mkali sema EPL ligi ya UK hajacheza jana Torres Kuanza tu kaanza na Kishindo Hakuna Striker duniani sasa hivi kama Torres. C Ronaldo ni mchezaji wa Dunia mtarajiwa ila Torres atazidi kutisha mwakani atakuwa striker hatari Ligi ya Uwengereza toka Henry kuondoka. Torres Anatisha hata ukimwi hautishi. Arsenal sie mabingwa msijali.
ReplyDeleteusiwe na wasi, tupo pamoja wadau wa liver, kwanza kikosi napenda kiwe hiki
ReplyDeletereina
Arbeloa- Carra- Skrtel -Aurelio
lucas masch
beneyuni babel
torres gerrard
hatoki mtu hapa game ya kwanza walibahatisha na time ailikua na issue sasa tupo fit kama mbwa wa police lazima kesho torres atokea na 2
kuhusu ronaldo na torres
torres ndio bora maana ndio kwanza anaingia premier ligi na ni vigumu sana kutoka spain kuja kwenye ligi hii na kuwa mmoja kati ya wafungaji bora, ronardo ni mzuri pia kwanza amecheza sana hiyo ligi pia anafunga sana kwa kutumia juhudi binafsi sio kitimu, na ukimkaba yeye tuuu man utd hawawezi kushinda maana forward yao ni butu hakuna ronney wala tevez wote mdebwedo
BILA SHAKA BWAWA LA MAINI LAZIMA WASHACHOKA KUWA MATEJA KWA MAN U. SO MIMI NAONA KESHO NI SIKU YA SHANGWE KWAO. KUHUSU HAWA VILEMA WASIOKUWA NA MIGUU INAYO LINGANA UREFU WAKINA TERRY (CHELSEA) KESHO NI KUMTOA KAMASI NYUMBANI KWAO NA MUUAJI WAO NI KIJANA FABRY NA V.P YANI NI KICHAPO CHA 2-0.
ReplyDeleteLIVERPOOL MKIFUNGWA KESHO MJINYONGE TU. ILA MBELE MKO SAFI ILA NYUMA NDO MDEBWEDO..BEKI ZENU ZINAJAMBISHWA SANA SIKIKUTANA NA WATU WENYE MOTOR MIGUUNI KAMA WAKINA RONALDO
sir wenger
chelsea 2 arsenal 1
ReplyDeletekubali usikubali hahaaaaaaaa,liverpouwaaaaaaa 0 na manchester united 2
Michuzi kesho lazima ulalie blanket ingawa dar kuna joto kali sana (Man 2 - Liver 0)
ReplyDeleteKaka Michuzi:
ReplyDeleteMan Utd v Liverpool
Old Trafford
Sunday, 23 March
Kick-off: 1330 GMT
Coverage on the BBC Sport website, BBC Radio Five Live & highlights on Match of the Day
Man Utd team news to follow later.
Liverpool boss Rafael Benitez has no new injury worries so he could field the same side that beat Reading.
However, he could opt to use the experienced John Arne Riise in midfield ahead of Ryan Babel.
Liverpool (from): Reina, Arbeloa, Finnan, Carragher, Hyypia, Skrtel, Aurelio, Riise, Babel, Benayoun, Alonso, Gerrard, Mascherano, Lucas, Kuyt, Torres, Voronin, Crouch, Pennant, Itandje.
BIG-MATCH FACTS
Arch enemies Manchester United and Liverpool clash at the Theatre of Dreams, with the Red Devils seeking a fifth league victory on the bounce and the Merseysiders, a sixth.
United have 11 more points than Liverpool, and have forged a three-point cushion between themselves at the summit, and Arsenal courtesy of Wednesday's 2-0 home win over Bolton. With eight to play, they're now in pole position to win a 10th Premier League title.
It's crunch time for Liverpool, with the Merseyside derby home to Everton, following hot on the heels of this. Both clubs vying for that fourth Champions League qualifying berth. Then Liverpool face Arsenal in three successive matches in the league and the Champions League quarter-finals.
Liverpool are looking for their 50th league victory over Manchester United in the 150th clash between the two; all but the first four were in the top-flight.
CLUB FORM
MANCHESTER UNITED
Club stats
Fixtures
(all statistics are ahead of this weekend's round of Premier League fixtures, and refer to stats and sequences in the Premier League only, unless stated otherwise)
1. The loss to Portsmouth in the FA Cup was their first defeat in eight (all competitions).
2. Won eight of the last 10, including the last four against Newcastle (a), Fulham (a), Derby (a) and Bolton (h).
3. Secured 22 victories, dropped 20 points, scored 61 goals, at one every 44 minutes on average, and conceded 15, at one every 180 minutes (three hours), or every two games on average; the best in all four categories.
4. Registered the joint fewest draws, alongside Reading; four each.
5. Exceeded last season's total of clean sheets by two to 18; only Chelsea have also managed 17 this term.
6. Opened the scoring in an unmatched 24 games (won 21, and lost just one of them); and allowed the opposition to score first in five matches - that's fewer occasions than any other club.
7. Second to Liverpool in the "Last Six Current Form" table with 16 points. Liverpool have 16.
8. Scored 15 goals in the last 10 minutes, 10 of which were in the last five minutes, seven of those being in stoppage time; no club can beat those, although Arsenal and Reading can match their stoppage time return.
9. Lost two of 31 home league games.
10. This is the second of three successive home fixtures. Aston Villa visit Old Trafford next, before the Champions League quarter-final away leg to AS Roma, and a league trip to Middlesbrough.
LIVERPOOL
Club stats
Fixtures
(all statistics are ahead of this weekend's round of Premier League fixtures, and refer to stats and sequences in the Premier League only, unless stated otherwise)
1. Won all seven games since being knocked out of the FA Cup by Barnsley on 16 February - their only defeat in 10 (all competitions).
2. Unbeaten in seven; won six and drew one since defeat at West Ham on 30 January - their only loss in 14.
3. Lost three times; only Arsenal have been beaten less frequently (just once).
4. Drawn 11 - only Fulham match that.
5. Conceded 21 goals; only Manchester United (15) have shipped fewer. Also, allowed the opposition to score first in seven games; only Manchester United can better that (five times).
6. One of two clubs not have picked up a red card from matches in this league this season; Bolton is the other. Also, shown 37 cards; only Everton have a better disciplinary record with 33 cards (30 yellow, three red).
7. Registered five goalless draws. Only Portsmouth have also been involved in as many as that.
8. Won 111 and lost 111 away from home in this league, and two shy of scoring 400 goals on their Premier League travels.
9. Won one of the last five away from home (1-3 against Bolton at the Reebok on 2 March) and not lost on the road to a North-West club the season, nor in six since a 1-0 reverse to Blackburn on Boxing Day 2006.
10. This is the first of a series of gripping fixtures. Next Sunday, near neighbours Everton are entertained. Three days later its to the Emirates Stadium for the first of two fixtures with Arsenal in four days, before the Gunners come to Anfield on the following Tuesday. There after Blackburn are hosted in another North-West league derby.
KEY PLAYER NOTES
MANCHESTER UNITED
Cristiano RONALDO is Manchester United's top scorer with 33 goals; the highest ever in one season by a winger in the clubs' history.
RONALDO is also their leading Premier League marksman with 24 from 24 starts, and is leading the race for the Barclays Golden Boot.
Wayne ROONEY needs one goal to total 50 in the Premier League for Manchester United.
If on the field from the outset:-
ROONEY will make his 150th career league start (Everton and Manchester United).
Chris EAGLES will be making his 50th club league start (Manchester United, Watford and Sheffield Wednesday).
Long term injury, Gary NEVILLE will be making his 350th Premier League start for Manchester United.
LIVERPOOL
Fernando TORRES is Liverpool's top scorer with 27 goals, and their leading marksman in the Premier League with 20.
TORRES has become only the second player to score at least 20 Premier League goals for Liverpool in a season. Robbie Fowler scored 25 in 1994-95, and 28 in 1995-96.
Goalkeeper Jose REINA is the only remaining player to have been on the field for every minute of every one of Liverpool's Premier League matches this season.
REINA leads the race for the Barclays Golden Glove going into this batch of Premier League fixtures, having kept 14 clean sheets.
HEAD TO HEAD
Manchester United are looking for a fifth straight Premier League victory over Liverpool.
Liverpool have failed to score in their last seven Premier League and FA Cup matches with United. The only goal accredited to them against the Red Devils under Rafa Benitez was an own goal from John O'Shea, in the 2-1 defeat at Old Trafford on 20 September 2004.
Victory for Sir Alex Ferguson's side will complete a fifth Premier League double over the Merseysiders and second in as many seasons.
Home and away
League (inc PL): Man United 57 wins, Liverpool 49, Draws 43
Prem: Man United 17 wins, Liverpool 7, Draws 7
at Man Utd only
League (inc PL): Man United 35 wins, Liverpool 14, Draws 25
Prem: Man United 8 wins, Liverpool 3, Draws 4
LAST SEASON'S CORRESPONDING GAME
Manchester United 2-0 Liverpool
22 October 2006 - Ref: Graham Poll
Man United scorers: Scholes 39, Ferdinand 66
THIS SEASON'S REVERSE FIXTURE
Liverpool 0-1 Manchester United
16 December 2007 - Ref: Mark Halsey
Man Utd scorer: Tevez 43
REFEREE
Steve Bennett (Orpington, Kent)
Kama man Utd hawatacheza 12 bsi kesho tegemea 1-3 Torres 2 Gerard 1 na Ronaldo 1
Mimi sina mengi
Mdau Kutoka Ngongere
Rufiji
kaka michuzi hilo bada umenikumbusha mbali sana maana nilipokuwa nakamilisha masuala ya viza kuja uk nilikuwa na masela hapo na chakula kilikuwa bada na swala kesho ni Bwawa la maini 2 mashetani 1,chelsea 0 arsenal 2.
ReplyDeleteJoachim
Ukerewe.
Duh...kuabudu wazungu mpaka leo!
ReplyDeleteliverpool 1 manchester 1 huko vijana wa venger kama waingereza upenda kumuita kesho wanamnyuka chelsea goli moja ya score board itakuwa inasomeka hivi arsenal 1 chelsea 0.na kuhusu c ronaldo his a good player but not the best player kwa mchezaji anyocheza nafasi yake huwez kuwa na assist 4 tu msimu mzima.so kwa wale wanaojua mpira they'll know wat am talkin about.And abt torres he is gettin better every day but not goin to be the top scorer this season maybe next season.
ReplyDeleteBraza Michu wewe jipe moyo tu!Ila kesho piga ua hamtoki ndani ya OT "Theatre of Dreams" halahala huo uzi usijeuona mzito!
ReplyDeleteMichuzi wewe kula ushibe kabisa kabla ya mtanange kwani mechi ikisha najua chakula hakitapanda tena kama hutokuwa umelazwa kwa presha ya magoli mtakayofungwa.Man naifahamu toka utotoni mwangu haitaki mchezo ikicheza na Liverpool inatandika tuuuuuuuuuuuuu.
ReplyDeleteBy
UNDERGROUND
Michu leo utakenua sana tu, maana chama lako litawaliza MANU 3 kwa 2 na sisi tutawaliza Chelsea 2 kwa 1.
ReplyDeleteKwa hiyo itakuwa J'pili safi kwa bwawa la utumbo na Arsenal.
Michuzi acha ufedhuli....kubania watu message zao, ambazo zinaleta maana sa hihi...
ReplyDeleteBlog ya Jamii ????? hii kweli..
Marketing... kwa kuwafagilia Break Point Misupu hula bure pale! Sijaelewa kama Fanta nao wanakupa shavu au >>>>
ReplyDeleteSEV