50 TIPS TO AN OUTSTANDING MARRIAGE
1. Start each day with a kiss.
2. Wear your wedding ring at all times.
3. Date thrice a week.
4. Accept differences.
5. Be polite.
6. Be gentle.
7. Give gifts.
8. Smile often.
9. Touch.
10. Talk about dreams.
11. Select a song that can be "our song".
12. Give back rubs.
13. Laugh together.
14. Trust each other
15. Do what the other person wants before he or she asks.
16. Listen.
17. Encourage.
18. Do it his or her way.
19. Know his or her needs.
20. Fix the other person's breakfast.
21. Compliment twice a day.
22. Call during the day.
23. Slow down.
24. Hold hands.
25. Cuddle.
27. Show respect.
28. Welcome the other person home.
29. Look your best.
30. Wink at each other.
31. Celebrate birthdays in a big way.
32. Apologise.
33. Forgive & Forget.
34. Set up a romantic getaway.
35. Ask, "What can I do to make you happier?".
36. Be positive.
37. Be kind.
38. Be vulnerable.
39. Respond quickly to the other person's request.
40. Talk about your love.
41. Reminisce about your favourite times together.
42. Treat each other's friends and relatives with courtesy.
43. Send flowers every Valentine's Day and anniversary.
44. Admit when wrong.
45. Be sensitive to each other's sexual desires.
46. Pray for each other daily.
47. Watch sunsets together.
48. Say "I love you" frequently.
49. End the day with a hug.
50. Seek outside help when needed.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Wow!!!This is amazing and sound true medicine,if someone practice this for a year,will absolutely see how things are going.I definetely agree with this tips.
    I was going down reading each tip,and my heart was accepting all the tips you shared with us.
    Again thank you so much,for sharing this hot tips in longer and sweeter relationship.

    ReplyDelete
  2. 3. Date thrice a week.

    You mean take her with me to the Bar?

    20. Fix the other person's breakfast.

    Would you please show me the Kitchen?

    31. Celebrate birthdays in a big way.

    How would she know when I was born? I have no clue myself!

    47. Watch sunsets together.

    What?

    ReplyDelete
  3. Katika sababu zote 50 Zilitolewa ile ya "give gifts" ndiyo inayoonekana kupendwa zaidi hasa na wanawake!

    Gifts ndiyo zenyewe. Wanawake wasiopoona gifts hawaelewi kitu.Jaribu bila gifts uone kama utapata mke wa kuoa.Ndiyo maana mikabila mingine huwa inawabonda sana mingumi ikisha waoa kama hasira ya gifts dume lilizotoa.

    Halafu wanawake wanauzwa kwa bei kama ng`ombe mnadani(BRIDE PRICE).Mkwe hakupi mpaka ulipie gift tena si ya hiari price yake unapangiwa.Bila gift huondoki na mtu.

    Hiozo sababu zingine ni porojo tu.

    ReplyDelete
  4. Katika hizo sifa zoote na ambazo hujazitaja,

    Manka S. Mushi hana hata moja,

    Ndo maana hawezagi kuishi kwenye ndoa,

    na hatakaa aweze

    ReplyDelete
  5. hiyo no 50,yesu na bikira maria,yaani ni seek outside help when needed? yaani mtu aje kunisaidia mke wangu? labda mimi si mchagga

    ReplyDelete
  6. 51. Be PAMBAFUUUU..........Mpaka mwisho.

    ReplyDelete
  7. Kisha tuwasake mafisadi wa ngono.....................

    KUNA habari kwenye blogu yangu kuhusu ugunduzi uliofanywa na wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Alberta, Canada kuhusu virusi vinavyosababisha ukimwi.

    Kwa mujibu wa habari hiyo, watafiti wamegundua “gene” iitwayo TRIM22 ambayo inaweza kuvizuia virusi vya ukimwi na hivyo kuvinyima uwezo wa kusababisha madhara zaidi.

    Kama zilivyo habari nyingine kuhusu maendeleo ya utafiti wa ukimwi, matokeo kamili na pengine ufanisi wake (kama utakuwapo) ni mambo yanayoweza kuhukumiwa na muda pekee.

    Katika habari hiyo niliyoiweka kwa ufupi, nimetania kwamba si ajabu tiba ya ukimwi ikapatikana mapema kabla Watanzania hatujapata tiba ya tatizo la ufisadi. Ni utani wenye ukweli, kwani hadi leo tumeshuhudia wezi wa fedha za EPA wakidaiwa kuzirejesha kimyakimya pasipo hata kujulishwa ni akina nani.Tangu lini mwizi akafichwa iwapo kweli tuna dhamira ya kupambana na wizi?



    Leo nataka kulingalia tatizo la ufisadi katika maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine ni kama hayamulikwi ipasavyo. Watanzania mbalimbali wamekuwa wakifanya mambo yanayotangaza jina la nchi, iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Ni dhahiri kwamba vitendo vya ufisadi ni miongoni mwa yale yanayochafua jina la nchi barani Afrika na duniani kwa ujumla.

    Wengine tunakuwa “mbogo” kwa mafisadi kwa vile licha ya unyama wao kuwaumiza Watanzania, pia wanaharibu jitihada zilizojengwa miaka mingi kuifanya Tanzania iwe miongoni mwa nchi za kuigwa. Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ukombozi Kusini mwa Bara la Afrika, sambamba na jitihada za hivi karibuni za Rais Jakaya Kikwete kuleta mwafaka nchini Kenya ni miongoni mwa mambo yanayotusaidia Watanzania kutembea kifua mbele japo bado tuna wakati mgumu kujibu maswali kama “hivi yule gavana wenu anayetuhumiwa kwa ubadhirifu wa mabilioni ya hela zenu yuko wapi?”

    Kuna Mtanzania anaitwa Hashim Thabit anayepeperusha bendera ya Tanzania huko Marekani katika duru za mpira wa kikapu.Kuna Mtanzania mwingine aitwaye John Mashaka ambaye matajiri huko Wall Street nchini Marekani wanamkubali kuwa ana kipaji cha hali ya juu.Yupo mama Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,ambaye kwa hakika anapeperusha vyema bendera ya nchi yetu ulimwenguni.

    Sijui msomaji utakuwa na mawazo gani kuhusu huyu “balozi wetu” kwenye jarida maarufu duniani la mambo ya nusu-utupu (Playboy), Ida Ljungqvist, mwanadada mwenye mchanganyiko wa asili ya Tanzania na Sweden,ambaye ndiye “Playmate of the Month” kwa mwezi huu.Ida anaweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza kushika “wadhifa” huo.

    Kila mwaka,tunashudhudia mabinti kutoka takriban kila kona ya nchi yetu wakiingia kwenye kinyang’anyiro cha kusaka umalkia wa Tanzania. Michuano hiyo huanzia kwenye ngazi ya vitongoji na kuhitimishwa kwenye mchuano mmoja wa kitaifa.

    Pamoja na kutokuwa na mafanikio makubwa sana kwenye fani hiyo lakini miaka michache iliyopita mlimbwende Nancy Sumari aliweza kututoa kimasomaso kwa namna flani.Mengi yamekwisha kusemwa kuhusu mfumo mzima wa mashindano hayo, nisingependa kuendeleza mjadala huo kwani lengo langu hapa ni kuzungumzia ufisadi wa ngono.

    Nilipata wazo la kuandika makala hii baada ya kuona kundi la warembo watakaochuana kwenye mradi wa Face of Tanzania. Nawapongeza waliobuni wazo hilo kwani pamoja na hisia zilizotapakaa katika jamii kwamba mambo ya urembo yanahusiana na tabia zisizofaa, fani hiyo imekuwa ikitoa ajira sambamba na fursa ya kutangaza Taifa.

    Kwa mujibu wa utaratibu wa mashindano hayo, kila baada ya muda warembo kadhaa watakuwa wakipigiwa kura za kubaki au kutoka mashindanoni. Na hapo ndipo napotaka “kupigilia msumari wa moto”.

    Tukiweka unafiki pembeni,ni dhahiri kwamba asilimia kubwa ya mabinti wanaokuja jijini Dar es Salaam kuwakilisha vitongoji, wilaya au mikoa yao kwenye mashindano ya urembo huishia kubaki hapohapo jijini huku wengi wao wakigeuka kuwa vyanzo vya habari zisizopendeza machoni.

    Sitaki kuamini kuwa kila binti anayepania kuwa mlimbwende wa nchi yetu huwa amezaliwa akiwa na wazo la kuishia kuandikwa “amepora mume wa mtu,amefumaniwa,kavaa nusu uchi…” na kadhalika. Yayumkinika kusema kuwa walimbwende wanaoishia kuwa vituko baada ya mashindano ya ulimbwende ni waathirika wa ufisadi wa ngono.

    Nikirejea kwenye shindano la Face of Tanzania, natamani kuamini kuwa mabinti watakaopigiwa kura za kutoka nje ya mashindano watarejea makwao au kusaka ajira halali hapo jijini na si kuishia mikononi mwa mafisi-maji ambao kwa hakika muda huu wanafuatilia kwa karibu kinachoendelea.

    Natarajia kwamba waandaaji wa mashindano hayo watakuwa wameandaa utaratibu mzuri kuhakikisha kwamba hatma ya walimbwende hao baada ya mashindano itabaki kuwa salama.

    Ni vigumu kuulaumu upande mmoja kwa yanayowatokea baadhi ya washiriki wa mashindano ya urembo.Kwa mfano,iwapo Miss Ifakara akishiriki Miss Morogoro na kushindwa halafu akaamua kubaki hapohapo mkoani ilhali hana ajira ya kuaminika, ni dhahiri kuwa atawatengenezea mafisadi wa ngono nafasi mwafaka ya kumnasa. Hivyo hivyo, kwa ma-miss wanaowakilisha mikoa mbalimbali ambao baada ya mashindano hayo huamua kuhamishia makazi yao jijini Dar,wanawasaidia mafisadi wa ngono kuongeza urefu wa orodha ya “majeruhi” wao.

    Kwa mtizamo huu,walimbwende ndio wanaobeba lawama kwa kugoma kurejea makwao. Lakini wakati tunawalaumu,ni vema tukumbuke kuwa hata baadhi ya wawakilishi wetu nao wamegeuza jiji la Dar kuwa makao makuu ya majimbo yao baada ya kushinda uchaguzi.

    Washiriki wangeweza kulazimika kurejea makwao baada ya mashindano iwapo waandalizi wa mashindano ya urembo wangesisitiza kipengere hicho kinazingatiwa. Natambua kuwa ni vigumu kumlazimisha mshiriki kurejea kwao.Hata hivyo,kwa kutambua kuwa waandaaji wa mashindano wanahusika kwa namna moja au nyingine pindi jambo baya linapomtokea mshiriki aliye mbali na wazazi au walezi wake,basi kuna umuhimu mkubwa wa kuhakikisha ushiriki wa mashindano hayo haushii kuharibu mabinti za watu.

    Kuibua warembo huko vijini, wilayani na mikoani na kisha “kuwatekeleza” baada ya kufanikisha mashindano ni sawa na kuwarahisishia mafisadi wa ngono kazi ya kuzunguka sehemu mbalimbali kutafuta “wahanga” wa matendo yao haramu.

    Ikumbukwe kuwa fani ya urembo popote pale duniani ni sawa na sumaku inayovuta hisia za mafisadi wa ngono. Kutowalinda warembo hawa ni kukaribisha balaa katika maisha yao ya baadaye.

    Siku zote naamini kwamba kukaa kimya si ufumbuzi wa tatizo na ndiyo maana siafikiani na rais mstaafu Ben Mkapa kwa uamuzi wake wa kukaa kimya ilhali vyombo vya habari vinazungumza mambo mbalimbali kuhusu ushiriki wake kwenye biashara kama ya mradi wa nishati wa Kiwira.Walimbwende nao wamekuwa kimya sana kuzungumzia madhila wanayokumbana nayo katika fani hiyo.

    Mara kadhaa tumesikia tetesi za warembo kuombwa rushwa za ngono lakini hakuna yeyote aliyewahi kujitokeza hadharani kuelezea kinagaubaga kuhusu ufisadi huo.

    Sijui ile teknolojia ya TAKUKURU ya kunasa sauti na taswira ya wanaoomba rushwa ya ngono imefikia wapi, lakini kwa kuzingatia rekodi ya taasisi hiyo kwenye sakata la Richmond si vigumu kuhitimisha kwamba hizo zilikuwa porojo tu za kuhalalisha kasma nono kutoka serikalini.

    Source
    Blogu: http://chahali.blogspot.com

    ReplyDelete
  8. lazima atakuwa mwanamke kaandika hizi. meet each others needs??? kama ukijua mahitaji ya mwanamke basi wewe si mzima. call each other during the day? nafanya kazi nyumba ya upasuaji hawaruhusu simu. hata wakati napiga box tulikuwa haturuhusiwi simu. hizi nadhani ni za ma director. flowers?? mbona ngono? football havijawekwa?instead kaweka coronation street/enders /suncity!!!aaaaah lazima atakuwa demu kaandika . juu yote haya ni mahitaji ya mwanamke. GAS UK

    ReplyDelete
  9. Wewe chahali habari yako ndefu sanainatia uvivu kusoma kwa hiyo mimi sijasoma naona its just bullocks punguza kidogo duniani siku hizi watu wako busy muda mfupi sana wakusoma Hadithi best of luck

    ReplyDelete
  10. WAUNGWANA NAOMBA LEO TUJADILI HIKI KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOUNDWA NA MAXIMO NI CHA USHIDI AU NDIO WALE WALE PLS MICHUZI IPELEKE HEWANI NI MUHIMU KWA TAIFA
    A.H.W (FROM B)


    Kikosi kamili cha Stars kinaundwa na walinda mlango, Farouk Ramadhani na Shaban Dihile, walinzi Nassoro Massuji, Amir Maftah, Salum Juma, Stephano Mwasika, Nadir Haroub `Canavaro`, Salum Swed, George Assey na Kelvin Yondani, viungo ni Henry Joseph, Athuman Idd, Abdi Kassim, Adam Kingwade, Godfrey Boniface, Shaban Nditi, Sabri Ramadhani, Uhuru Suleiman na Ulimboka Mwakingwe. Washambuliaji ni Jerry Tegete, Mrisho Ngasa na Yona Ndabila.

    ReplyDelete
  11. Kwa wanaume wote wanaomponda Manka Mushi wapitie blog ya Dina (Dinahicious, unawaza ipata kiurahisi kama ukiingia kwa blog ya Che Mponda na hapo katika list yake ya blog chagua dinahicious. Dina anatulaumu wanawake kuwa tuwaoga kulianzisha, kumbe wanaotufanya tuogope kulianzisha ni hawa hawa wanaume zetu). Manka you go girl, nakufagilia kwa sana kwa kujijua, you know what you exactly want in your life. Ni mwanamke wa mfano wewe. Wanaume wasiowapenda wanawake wenye kujiamini ziiiiiiiii, wanawake wanaoona wameaibishwa na Manka ziiiiiiiii kwani ni watumwa wa hisia (sio wote tafadhali)

    ReplyDelete
  12. Kama mimi na mai waifu....
    anatha point ni kuwa appreciative kwa kila kitu

    ReplyDelete
  13. Yes hapo sawa. Hiyo ndio ndoa bwana mwenyaz Mungu aliopanga ya uwianona kupendana.Ila yahitaji kujitolea. Muhimu zaidi namba 34,35,40 na 46.

    ReplyDelete
  14. ...KUNAMAPUNGUFU KWENYE HII..50..MMESAHAU "SEX"

    ReplyDelete
  15. mapenzi hayana formula hata siku moja.. tafadhali usipoteze watu!!!....

    ReplyDelete
  16. KWELI KABISA HAPA HAWAJWEKA ___TENDO LA NDOA___AU KUJAMIIANA___KUNAMAPUNGUFU

    ReplyDelete
  17. 50.Seek outside help when needed.
    Yaani kulanguana sio?Ni kweli kabisa ktk ndoa ni vyema kulanguana mara moja moja ili kuiimarisha ndoa.
    51.Sex ya mitindo mbalimbali,ubunifu ni muhimu hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...