washindi wa mr na miss university 200o walikuwa elizabeth chando na nyirenda masouzi ambao walifanya vyema kwenye mashindano ya dunia yalofanyika january 2001. hivi sasa nyirenda anaandaa mr and miss university kitaifa ambapo vyuo vikuu byote nchini vitashiriki. kaniambia sasa hivi kwamba shindano hilo la kitaifa litakuwa mwezi mei

Mbona wote wabaya?
ReplyDeleteNaomba kuuliza jamani haya nimashindano ya urembo au akili za darasani?
ReplyDeleteSAVCO JEANS... Kweli tumetoka mbali...
ReplyDeleteSamahani! Nilidhani wote ni wanaume kwenye hii picha! TEEEEHHHHEEE!
ReplyDeleteKAMERA ILIKUWA YA MEGAPIXEL 0.5 AMA
ReplyDeleteNDIO UBAYA WAO TU? MACHO KA SUNGURA
PORI.NA HUYO DEMU MIGUU YAKE MMMH.SISEMI MIMI.HALAFU WE MNDENGE ISSA NI MCHOKOZI SANA BWANA
Hivi Hawa wameshaoana Ama bado ?
ReplyDeleteHivi hawa wameshaoana
ReplyDeleteStop hating people! Walishinda kwa hiyo kuwaua means unauwa wazee wote walioshiriki!!
ReplyDelete