Kwanza Asalam Aleikum!
Nakuletea tena habari za kaka yetu Mtanzania Rogers Mtagwa, leo hii usiku huko Philadelphia amemtwanga tena Mmexico yule yule aliyemchapa mwaka jana kwa unanimous decision. Huyu jamaa kwa kweli anastahili kurushwa sana Bongo lakini naelewa watu wengi hawamjui ingawa Boxing world hapa kiwanja wanamfagilia sana.
Fight hii ilionyeshwa live katika kituo cha Television cha Telefetura.
Hii hapa chini nimuhtasari:
Mtagwa beats Valtierra again!Featherweight Rogers Mtagwa (23-12-2, 17 KOs) hammered out a ten round unanimous decision in a good action fight over late sub Aldo Valtierra (24-9, 13 KOs) on Friday night at the New Alhambra in Philadelphia. Scores were 97-92, 96-93, 96-93. Mtagwa previously beat Valtierra by split decision last summer.
source: http://www.fightnews.com/
Vile vile pata habari zake nying hapa:

Huyu kapigwa au kapiga?mbona naona kama ndio kafumuliwa mangumi?
ReplyDeleteLOL.. nilitaka kusema hivyo hivyo!
ReplyDelete