disko la pink coconut limeanza kwa vishindo usiku kuamkia leo ambapo dj seif anasema ameridhika na mwitikio wa wadau wa muziki wa bakulutu waliofurika hunters club nyuma ya soko la tx kinondoni na kudhihirisha kwamba muziki wa disko sasa umeanza kurudi katika chati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. welcome back brother seif and pink coconut !!! na hongera sana, nakuona unafanya vitu vyako, kila la kheri.....love mariam.UK.

    ReplyDelete
  2. Nakuvulia kofia ndugu. big up seif Katunda

    ReplyDelete
  3. hongera brother Seif! Pink coconut ilikuwa bomba na tunaimani Hunters patakuwa "full house" kila mkipiga! All the best, mdogo wako Gege

    ReplyDelete
  4. Seif,
    Kuna profession nyingi tu bwana sio lazima uzeekee kwenye mixer, jiengue mapema. Wapo watoto wadogo watakuja kukutoa nishai, kazi ya u DJ ina age limit! Kama si hivyo kina Choggy Sly, Chris Phabby, John Peter Pantalakis, Gerry Kotto, Seydou na wengineo wangekuwa bado wanafanya u DJ!!

    ReplyDelete
  5. HONGERA SANA SEIF KWA KURUDI KWENYE ENZI ZAKO.NATUMAINI TUKIJA TZ TUTAPATA BURUDANI YA NGUVU.


    SALAAM TOKA COLUMBUS OHIO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...