Tunaomba kuwajulisha wale wote waliohitimu shule ya sekondari ya ufundi Moshi (Moshi Technical School), mwaka 1987 kuwa tunatarajia kukutana tena baada ya miaka zaidi ya 20 (Class Re-union) mwisho wa mwaka huu (Nov 2008).
Tunaomba watakaopata taarifa hii watusaidie kufanya mambo 2:
1. Watume jina kupitia betapromotions@gmail.com , na
2. Wawajulishe wengine wote ili tuweze kuwa kujua idadi ya watakaoweza kuhudhuria.
Tunaomba pia wale wanaoishi Dar watujulishe ili waweze kusaidia sehemu za maandalizi.
Tunawaomba wote watakaopata taarifa hii waweze kuhudhuria ili tukumbushane tulipotoka, zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Tunaomba watakaopata taarifa hii watusaidie kufanya mambo 2:
1. Watume jina kupitia betapromotions@gmail.com , na
2. Wawajulishe wengine wote ili tuweze kuwa kujua idadi ya watakaoweza kuhudhuria.
Tunaomba pia wale wanaoishi Dar watujulishe ili waweze kusaidia sehemu za maandalizi.
Tunawaomba wote watakaopata taarifa hii waweze kuhudhuria ili tukumbushane tulipotoka, zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Tunatarajia kuwa na ugeni kama akina E. Malale, Kasenge, A. Munuo, I. Malisa (na Obelini), Mpande, Pyuza na wengine watakaopatikana.
Ahsanteni sana!
Ahsanteni sana!
DU MMEFANYA KITU KIZURI NADHANI NIKIRUDI BONGO NINGEPENDA WATU TUORGANISE YA KIBOSHO GIRLS BILA KUJALI MWAKA
ReplyDeleteDuh! mmenikumbusha mbaaali kweli hasa nilipoona jina la Mwl. Mpande.
ReplyDeleteBinafsi nilimaliza Moshi Tech ila miaka ya karibuni lakini mpaka leo naikumbuka shule yangu pamoja na jitihada za Mpande kuhimiza watu waende Mchaka mchaka.
Wadau mnakumbuka Mpande alivyokuwa akimsifia mkewe?
"Mama Love is Iron Bwana you can't me......"
Shule yetu Ufundi Mungu Ibariki, one, two, three........
Kila la heri kwenu wote mliopita Moshi Technical School, has wa mwaka 1987!
ReplyDeleteBaada ya kufuzu Mlimani, nilipelekwa kuwa mwalimu hapo shuleni - toka Machi 1970 hadi Januari 1972.
Oya Beat nimeisikiliza hiyo nyimbo Ndio Kali sema jamaa Mistari mibovu una beat kali unatakiwa upate mtu anayejuwa kuipanga mistari kiuwakika, kama mangweir au Fid Q. Kuna jamaa humo sijui kaimba kilugha kapatia kidogo ila aliyeondoka kachemsha Beat nimekukubali.
ReplyDeletejamani na ARUSHA SEC kweli tungefanya 20 yrs reunion...Class ya 1988 hebu tutafutane basi siku nyingi sana....
ReplyDeleteSiamini miaka 20 iangonga
Mmenikumbusha mbaaaaaali sana!!!! Namkumbuka muzee mzima Kazenge, the super second master, Munuo, the killer 'snake' na the best headmaster ever, Malale!!! Guys, very funny!! Kibosho girls our 'wives' mnakumbuka vitu vyetu kwenye graduations au welcome form one parties? Huh!!!! Big ups to my fellows, Nassib Mkami, Mangu Maige, Experious Kululya,Mosanya Ndare(RIP), Athumani Mndeme, Simon (Pole kwa sakata la Chang'ombe village), Mh Mbunge George Simbachawene (Tafadhali usitembee uchi kwa ajili yetu, nasi tunaujua ufisadi), Msemo Mavare (Afwande Tirafiki)Sylivia Lubuva (The technical beauty),Kingu (the iron lady),Zacharia Aloyce (wa maharage), Octavian Cyprian (how is uzunguni pal, remember ANSALDO SSG?). I salute you: Mr Pyuza, Mpande, Munuo, Malale,Kasenge,mama Kimaro, mama and Mr Msuya, Lyimo (the chemistry) etc etc...
ReplyDeleteLong Last Moshi Technical Secondary School!!! Wont 4get the place and the people. Luv you all
Chrispine Samwel Kimaro (Piner) - Mzee wa Bandari nowadays!!!!
Aisee babaangu, mimi ningependa kukumbushi, kukumbushia kweli kina Marealle, Urassa, Tesha, na na wale machalii wa kutoka old Moshi nao wasikose ati, hiyo siku lazima nimlete Manka Mushi babaangu, inabidi machalii wapate ile kitu roho napenda aisee.. kitochi, kisusio, machalari eeeuuuwwwiii!!
ReplyDeletehalafu Mc itabidi asitubanie na zile rekodi za Lucky Dube hasa ile ya 'rimemba mi', inanipa rizimu chali yangu
EBWANA MMAMBO YA MOSHI TECH YANA NIKUMBUSHA MBALI SANA HASA HOUSE YA AZIMIO DOM 8,MPANE ALIKUWA AKIINGIA,NI SIMCHEZO WA2 LAZIMA MKURUPUKE KWENYE NET,MKIKUTANA KWENYE MICHEZO NIO KABISA
ReplyDeleteILA UKIMZINGUA NAYE ANAKUZINGUA,UTASIKIA ANASEMA "WEKIJANA WA SINGIDA....UJANJA WAKO WA SINGIDA KAWAFANYIE WA SINGIDAAAA.
IT WAS VERY FANY THOSE DAYZ.
Inanikumbusha mbali japo si sana, ila ningependa pia msiifanye so spesho kwa ajili ya waliomaliza mwaka 1987, wengine miaka hiyo ndo tulikuwa watoto hata darasa la kwanza hatujaanza, but tumesoma hapo hapo tumefaulu tumeenda chuo na sasa tunafanya kazi..........we have all the reason to be proud of Moshi Technical. Wote hao mnao expect kuwa nao tuliwakuta pia na walitufundisha. Binafsi nilimaliza pale mwaka 2002 na ningependa kushiriki pia, i would like to meet those people pia. So please, can you look into this?
ReplyDeleteDuh! Imetulia sana kwenu. Mithupu, naomba nami nitumie fursa hii ku-group tuliosoma OLD MOSHI SECONDARI ambayo ni TAIFA KUBWA TANZANIA >> Tukutane jamani.
ReplyDeletePlease Prof. Sarungi, tuunganishe kwa kuwa wewe ni mmoja wa wakongwe waliosoma pale. Sisi wa 'majuzi' tutasaidia kupeperusha habari. Fanya mpango tukutane pale viwanja vya ikulu.
Wadau wa Moshi Tech (watani wetu) kila la kheri
SEV
Pascal na wengine,
ReplyDeleteNadhani jambo la muhimu kwenu mnaotaka kushiriki ni kutuma jina kwenye hiyo email address iliyotolewa hapo juu (betapromotions@gmail.com) hata kama sio class ya '87.
Inaelekea taarifa zote za maandalizi zinaendelea kupitia email hiyo.
haya wadau wenzangu wa Moshi Tech hili ni wazo zuri sana, mimi ni mmoja wenu nilikua mmoja wa wale watoto wadogo(Female) waliokua wamesamehewa kufanya kazi nzito kama kubeba madish. etc... najua mpaka hapo wengi wenu washanipata. Nilimaliza na Bwana Piner(mzee wa bandari) Mwaka 1990,ningependa kutoa wazo moja kwamba tujitahidi kupata contacts za collegue wenzetu ikiwezekana mobile numbers cause wengi wetu naamini kabisa hawana utamaduni wa kutumia internet so haitakua rahisi kupata watu wengi kwa kutumia mtandao huu.
ReplyDeleteHayo ni maoni yangu.....
Ndimi Pretty Young Thing(PYT)
Pretty Young Thing,
ReplyDeleteNaomba uwasiliane na waandaaji kwenye email iliyotolewa kwana sasa tunakusanya mawazo na contacts.