


PUNGUZO LA BEI 10% MARCH 2008
Jipatie lip shine (au Gloss) kutoka Marekani kwa kulainisha na kung'arisha LIPS kwa bei nafuu. Mteja unaruhusiwa kufanya yafuatayo:
1. Kujaribisha dukani kabla hujanunua, iwe perfume, enjo face, loshen, n.k.
2. Ukishanunua na kwenda nayo nyumbani TUNAPOKEA UKIRUDISHA DUKANI kama bidhaa ina hitilafu.
3. Kulimbikiza points kwa kutumia kadi zetu za duka na kupata PUNGUZO la vitu hata kama haviko kwenye sale.
Kumbuka: Duka ni jipya na bei ni POA za kujitambulisha kwenu. Tunapatikana SINZA Papambano Opposite na Samoma, Ulizia Duka la Vitu ORIGINAL vya Avon na Victoria Secret toka MAREKANI.
Tuandikie email
au wasiliana na
Mama Kev 0784 521171
au mwakilishi wetu aliyeko Marekani
simu namba +6517575407
ASANTENI NA KARIBUNI!!


KUMBE HATA BONGO KUNA DEBENHAM? BORA NIRUDI KULIKO KUPIGWA NA BARIDI HUKU NISIJE NIKAGEUKAICE CREAM BURE.....
ReplyDeleteSasa mbona mdau wa marekani number inaonyesha ni singapole....skyper inanishrge more money kw hii number mweeee
ReplyDelete