jk akipozi na mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu na utawala bora mh. jaji amiri manento (shoto), makamu mwenyekiti wa tume hiyo mh. mahfoudha alley hamid, na makamishna wa tume mh. joaquine de mello, mh. zahoro juma khamis na mh. bernadeta gambishi mara baada ya kuwaapisha leo ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongerani sana kwa kuteuliwa kwenu. Tunawaombee Mungu waongoze

    ReplyDelete
  2. Hongera Dada Ummie Alley! WanaTAMWA tunazidi kujivunia!

    TAMWA Juu, Juu, Juu Zaidi!

    ReplyDelete
  3. Duh! Huyo mama wa nyuma mwenye kiatu chekundu,si mchezo. Mashallah!

    ReplyDelete
  4. Haa Bongo bwana hao wengine hapo wamejikunyata utazani wameitwa ofisini kwa mwalimu mkuu!!! Hapo wote ni shikamoo mzee hata kama wamempita JK miaka 10.

    ReplyDelete
  5. Jamani ni lazima wanyenyekee mbele ya bosi. Kumbukeni usemi usemao
    mwenye pesa ni mwenye pesa tu hata akiwa mdogo kiasi gani ataitwa sir/mzee nababu wa miaka 80.......

    Kwa sababu ya money every thing is possible

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...