

"Hii ni kutoa uthibitisho kwamba Jose Mara hajaihama Fm Academia pamoja na mkataba wake kuisha, kwa hiyo leo hii tunawatambulisha rasmi na wazi kwamba Jose Mara bado ni mwanamuziki wa fm academia na tayari amekwishasaini mkataba mwingine"alisema Prezidaa Nyoshi el Sadat a.k.a sauti ya simba.
Pamoja na utambulisho wa mwanamuziki huyo pia walizitambulisha nyimbo zao tatu mpya za bendi hiyo ambazo ni 'Heineken Ngwasuma', 'Heshima kwa wanawake' pamoja na wimbo wa 'Usiku wa jumatano' ikiwa ni maandalizi ya albamu yao mpya itakayoitwa 'Ngwasuma Full Pressure' itakayokuwa na jumla ya nyimbo kumi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...