Home
Unlabelled
bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hata mikono ya wabunge wenzake hapendi kushika...wananchi je
ReplyDeleteNaon siku hizi na miaka ijayo Tanzania tutakuwa mabingwa wa kuponda na wataalamu wa kuwakemea mafisadi badala ya kupima, kuevaluate na kupata actual fact ya kwa kiwango gani maendeleo yaliyoahidiwa na tuliowachagua wametekeleza kwa asilimia ngapi? Tuachane na Chenge, Richmond, nk... tutazame serikali tangu iingie madarakani imeleta maendeleo gani?? Uchaguzi unakaribia lakini watu miaka yote hii mitatu iliyopita ni kupoteza muda ya kujua nani kafanya nini na ameiba shilingi ngapi. Twendeni sasa tukafanye kazi ili uchaguzi ukifika tujue ukweli, serikali hii au iliyopita ndo ina uozo?!! Maana mavi ya kale hayanuki, lakini ni mavi tu jamani... mavi ni mavi. Yawe ya leo au ya jana. Yalinyewa tu.
ReplyDeleteUSIJALI KELELE ZA WAPINZANI HAZITATUNYIMA USINGIZI, WATANYAMAZA TUU NA MHESHIMIWA TUTALINDANA KWA HESHIMA YA CHAMA CHETU.
ReplyDeletejamani pamoja na kuelimisha jamani Michu na kiswahili ukijue, au kama kuna mtu anakusaidia kazi uwe una proof read kwanza, kuachia ngazi kwa kiswahili sanifu ni KUJIUZULU na si KUJIUZURU babuuuu ah
ReplyDeleteDUUh kweli CCM kimekuwa "CHAMA CHA MAKULAJI" wacha tuendelee kubeba maboksi,kwani kama tambarare ya bongo ni wadosi kweli mambo tambarare!!!!!! By mlalahoi.
ReplyDeleteJAMANI HUYU MZEE BADO YUKO BUNGENI ANAFANYA NINI?KWANINI WATU WENYE HASIRA WASIENDE KUMTOA HUKO BUNGENI?NA BADO ANALIPWA KWA SIKU JAMANI...NA PESA YOTE HAYO ALIYONAYO?JAMANI TUTAFIKA KWELI?
ReplyDeleteNatabiri atagombea ubunge 2010 na atachaguliwa, kashfa zote hazitaibua kitu, na atateuliwa waziri tena.
ReplyDelete