
Zaidi ya karne tunayoijua sisi nchi yetu ya Tanganyika ilipewa jina hilo, ambalo kwa lafdhi ya baadhi ya wazungumzao lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki, maana yake ni "Changanyika". Je, aliyeipa jina hili la Kuchanganyika kabla ya tukio la hapo juu halijatokea, alikuwa na HIKMA yoyote?
Ahsante Kaka
Mhariri - Zenjydar Community Association
-- Zenjydar Community Association
kitendo cha karume kutochukua mchanga km nyerere wakachanganya pamoja inaonesha kuwa rais wa muungano ndio mwenye mamlaka hivo nyerere ndio mwenye mamlaka ya huu muungano kwani tuliona namna alivoweza kuiendesha znz mpaka ikafikia mda kumlazimisha aliyekuwa rais wa znz kujiuzulu kwa maslahi ya taifa jeuri hii nyerere alikua nayo kitu ambacho kwa bahati mbaya sana rais kikwete inamshinda tunaona namna anavoiachia znz kuteseka huku akijua ni kwa hali hiyo taifa litataabika ipo haja sasa tukatanguliza maslahi ya taifa mbele wakati huu wa kusheherekea muungano. udumu muungano
ReplyDeletewadau naomba kuuliza kijisuali kwanini mwalimu alichanganya michanga peke yake?na wala hakumshirikisha rais kalume
ReplyDeletejawabu ni kua nyelele likua mbinafsi ndo mana kachanganya mchanga alone..period!
ReplyDeletena mie hapo hapo nataka kuuliza kajisuali kadoogo tu...
huu muungano kwa kweli hasa una faida gani ambazo bila kukuwepo muungano zingekosekana??
Nami nauliza karume ni yupi? huy mwanaume karibu na nyerere au yule kule nyuma kulia kwa nyerere ukimuaca kawawa anayepiga makofi.
ReplyDeletekwanini akisimama mbali kiasi kile badal ya kumsaidia rais mwenzake? si nure kuna namna na kuna ujumbe hapo. labda alilazimisha hivyo ilikuwa ni namna y akuprotest. hii imekaaje wanahistoria nassi watoo tujueE
Kawawa wewe bado upo hai tusaidie kisa cha hiyo itifaki ya kinamna kama unavyoona hata wewe uko mbali lakini karume yupo masafa
Matonya kwenye nyimbo yake ya Anita amekataza mambo haya amesema USICHANGANYE CHANGANYE
ReplyDeleteJamani eeee namie nnakajiswali kangu kuhusu huu tunaouita muungano , IVI KWANINI KILA MWAKA SHEREHE ZAKE KITAIFA ZIFANYIKE DARISALAAM TUU ?
ReplyDelete