wachache walimfikia kwa utunzi na uimbaji, na sasa baada ya kuokoka cosmas thobias chidumule ameamua kuendeleza libeneke kwa nyimbo za injili. soma ona hayo na mengi mengineyo katika tovuti ya mdau mary damian iitwayo http://strictlygospel.wordpress.com/
hongera mdau mary kwa kuamua kutuletea za jikoni katika fani ya muziki wa injili. nakutakia mafanikio katika kuendeleza libeneke la kupashana habari kwa njia hii ya kisasa, huku nikitegemea wadau wengine watafuata nyayo kwa kuibua tovuti za fani nyingine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Asante sana mzee Michuzi kwa link ya strictlygospel.wordpress.com. Natumaini glob yako hii itaendelea kuwa muonyesha njia wa mambo mengi.
    Nimefurahi sana pia ulivyompongeza mdau Mary kwa blog yake na jinsi ulivyoshauri kwamba wadau wengine waige mfano huo lakini kwa kuibua blog za fani nyingine tofauti. Hii itafanya mtu akiingia kwenye mtandao aweze kupata mambo ambayo roho inataka!
    Nakushukuru sana!

    ReplyDelete
  2. I remember very well that this guy has been there before. Aliwahi kuokoka akaacha kuimba na akarudi tena and I remember reading the headline "Cosmas Chidumule aokoka kutoka kwenye ulokole". That was his comeback - soemetime in the '90s?

    ReplyDelete
  3. 'Bwana mdogooooo sogea nikutumeeeee'

    ReplyDelete
  4. Asante kwa kiunganishi bwana Michuzi. Imetulia.

    ReplyDelete
  5. Kaka Chidumule!
    Toka tulipokuwa wote kijiweni!ulinikopa msokoto wa na nii?! hadi leo pesa yangu ujanilipa!mara nikasikia umeokoka! vipi!sasa pesa hile ya msokoto?au ndio umeokoka nayo! naomba tupitie kijiweni Kinondoni

    ReplyDelete
  6. Asante sana kaka Michuzi. Mungu akubariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...