Home
Unlabelled
dar tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ile baluni yangu imeknock engine..mvua noma
ReplyDeleteNI DAR HII NINAYOIFAHAMU AU NI MOROGORO?
ReplyDeletehivi hii ni bongo ninayoijua mimi au moro? maana mh.....
ReplyDeleteBongo hoye mwaka huu. Mungu ametusaidia mno kupata matangazo ya bure ulimwenguni. Kichaka 4 days nchini na sasa mwenge.Ila ROHO inauma.
ReplyDeleteKwanza: Naombea na leo mvua ziwe nyingi sana na barabara zijae maji ili huo mwenge wa olympics ushindwe kupita. Siko side yoyote juu ya Tibet. Nategemea kuwa mabosi wataona aibu na kutengeneza plans za sewage system!!!
Swala la pili: Popote ulipopita mwenge huu, ni wazalendo wa nchi host ndo waliukimbiza mitaani. Inakuwaje hapa bongo unakimbizwa na wageni kibao? Yaani hatuna waheshimiwa wa kweli wakutosha? Au sponsors ndo wanaweka conditions zote? Je! wakidai kipande cha Mnazi mmoja tutawapa?
jamani watu wa huko bongo inakuwaje kuwa hivi huko kwenu? hiyo mitaro yenu imeziba jamani hakuna madiwani huko kwenu? serikali naomba mliangalie hilo mjue tatizo ni nini jamani niaibu kwelikweli,
ReplyDeletesweet
Arusha