Jamilla Munisi (shoto) Sella Bogoko wa kwa watani wetu wa jadi katika ukumbi wa Zhengzhou International Vonvestion & Exhibition Centre wakati wa mazoezi kujiandaa na mashindano ya Miss Tourism Queen International 2008 yanayotarajiwa kufanyika leo mjini Zhengzhou, katika Jimbo la Henan kusini mwa China. Mji huo upo umbali wa kilomita 680 kutoka katika mji mkuu wa nchi hiyo, Beijing
Home
Unlabelled
jamilla atuwakilisha leo miss tourism
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi bwana kwa watoto tu.
ReplyDeleteKweli nakubaliana nawewe kabisa, manake kila siku iendao ndo mambo yake....ila wametulia
ReplyDeleteMhhh! muwazuri sana,na i mani na mwakilishi wetu, pia miss tourism huwa wanajitahidi uki-compare na miss Tanzania.
ReplyDeleteNawatakia kila la kheri waibuke na ushindi mnono!Jamilla ni Bomba au vipi?Waitangaze vyema Tanzania.Jamani hatuna teknolojia ya magari lakini Mabinti tunao!Kauka basi Michuuuuuuuuuuuuuuz,uchimung'unye wala uchiteme,chimama wima njomba!
ReplyDeletemmependeza ila nakupa ushauri bure jamilla usi rush ukiwa unapaka makeup dada, take time na usiogope kuigusisha na nywele, angalia picha uta spot the difference,goodluck.
ReplyDeleteJAMANI KWA KWELI WACHAGGA WAMEJALIWA KWA KILA KITU,,,UZURI UTAFUTAJI NA MAISHA MAZURI..HONGERENI WACHAGGA WENZANGU.
ReplyDeleteKYEKUE
Mdau hapo juu unachunguza mpaka basi hata iyo ya makeup umeiyona.
ReplyDeleteSio kuwa mdau anachunguza mpaka makeup , ni kweli hata mimi nimeona hiyo tofauti,Kwa wanaojua haya mambo ya kujipamba huwa lazina utagundua tu kama hapa kuna kasoro na alichotaka kumsaidia ni kumuweka next time atoke bomba zaidi, Hasa ukizingatia reception ya mwanamke ni uso na mikono.
ReplyDeleteKufwenda roo kyekue,mboni tafo?
ReplyDeleteKweli nakusapoti wachagga wako juu kila kukicha wanaibuka sehemu fulani tena nyeti na uzuri ndio kabisaaa tumejaaliwa.Wenye kuchonga na wachonge ila tunasonga mbele.
I am proud of them.
Your sis,USA.
Mnaotaja mambo yanayochangia ukabila ni watu wenye mwazo mafupi sana na tukiwagundua ni akina nani mtakoma,mbona Kayanza Pinda sio mchaga?
ReplyDeleteshifonisha da kya mbonyi ta mikonu?kunu kasa kya Norway mbyoo ya pungua kinyoo nyinda efo USA?idika wandu wose kyaa..tutawasilianaje kwa email?mwombe michuzi akupe email yangu..
ReplyDeletekyekue