Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michu... nimependa utundu wako hapo katika picha... naona leo umetukumbuka wale tunaopenda creativity katika mambo ya picha. Good job. :) lol


    SteveD.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI HII PICHA INAMAANISHA NINI KAKA? NAONA KANISA LIPO MAWINGUNI TU....BILA MAELEZO YA KUTOSHA, AU NDO UKISALI HAPO WAENDA PEPONI!!!.

    ReplyDelete
  3. Good work! I salute u!

    ReplyDelete
  4. Hizi mvua za kwetu, ama kweli Bongo Tambarare.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Nimependa utundu wako ktk hiyo picha. Ni wachache ktk wanaglobu yako wanaelewa utundu na ubunifu ktk hiyo picha. wengi hawaelewi, nawapongeza wale waliodiriki kuuliza ni nini hiki? maana werevu huanza pale mtu anapokiri hajui na kisha kuuliza ili aelimishwe.

    Inabidi uwe unatoa masomo mara kwa mara kwa wadau wenu khs utundu wa kucheza na kamera.
    big Up

    Kubwa la Ma-Annony

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...