

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
lazma tushinde,masaaai wamezoea kutimua na simba mwituni
ReplyDeletegazeti la udaku the sun toleo la ujuzi limetusaidia lakini kwamshangao!wamasai kutoka tz maunt kilimanjaro tatizo lao wanakunywa chai sio kawaida mbaya zaidi sukari vijiko kumi,sikuzote uongo unakuja kwa lift,ukweli kwa ngazi taartibu!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKUDADEKI KIWANJA NI KIWANJA HATA WIKI HAIJAPITA MAASAI WAMEISHA ANZA KUTAKATA!!!!!
ReplyDeleteAnon wa pili unaongelea mmenyeo ama mdomo sijakuelewa unachoongea.
ReplyDeleteKIPA WA WEST HAM UNITED NA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND, ROBERT GREEN NI MIONGONI MWA WAINGEREZA WATAKAOENDA TANZANIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUCHANGIA MOJA YA TAASISI ZISIZO ZA SERIKALI ZA HUKO UK.
ReplyDeleteKWA MUJIBU WA GEZETI LA THE SUN LA UK, KIPA HUYO NA WENZAKE WATAPANDA MLIMA HUO MWEZI JUNI AU JULAI MWAKA HUU. PIA LILIRIPOTI KWAMBA MLIMA HUO UPO TANZANIA.
SUALA LA KENYA KUDAI NI MALI YA YAO LIMEANZA KUTOKA AKILINI MWA WAZUNGU HIVI SASA NA KUAMUA KWENDA KUONA KWA MACHO YAO HUKO ARUSHA. MAMBO YA MTANDAO, GOOGLE, ASK NA WIKIPEDIA YANASAIDIA SANA SIKU HIZI KUPATA UKWELI HALISI WA JAMBO LOLOTE LILE.
Naomba kuuliza jamani huyo Reporter
ReplyDeleteAYUB MZEE..sio yule mchezaji wa
Klabu ya Nyota Nyekundu .enzi hizo
au majina tu yamefanana ..PINTO UPO
nisaidie..!