
TUMIA VASELINE kwa kuwa Ngozi yako ni Mali
Ngozi inatakiwa tuitunze na kuikinga na madhara ya mazingira kama vile TUSIACHE NGOZI KUWA KAVU, KUWA NA MADOA YANAYOSABABISHWA NA JUA AU UMRI, CHUNUSI AU VYAKULA MBALIMBALI.
Tuna mafuta mbalimbali ORIGINAL ya kulainisha ngozi na mojawapo ikiwa ni Vaseline.
VASELINE inatumika kwa NGOZI za kila RANGI.
Fika dukani ujipatie mojawapo kulingana na mahitaji ya ngozi yako
Angalia video hii kuhusu Vaseline
Vaseline na mafuta mengine yanapatikana Sinza hapa Dar.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Rose
0784-521171
au tuma maswali yako
vaseline aloevera ni nzuri sana huwa inaharufu nzuri na inalainisha ngozi kwa upande wangu.
ReplyDeleteMimi nina shida sana na ngozi yangu usoni ni oil skin na kwenye mwili ni dry na usoni kwangu nina Acne na Black spot nyingi sana je plse advise me nitumie nini katika hizo product za vaseline ili niweze kutumia my email ni rade.benedict@yahoo.com
ReplyDeleteNa utuambie duka liko wapi?
Thanks
@3:50PM
ReplyDeleteSio kuwa namuaharibia huyo biashara yake lakini mimi nilikua na matatizo kama yako...oily skin na acne. Nilitumia vitu vingi sana kuanzia clinique, proactiv, neutrogenia, Olay, ambi na nilivyokua bongo skin success lakini haikunisaidia...na acne zangu zilikua zinaacha makovu sana tu.
Nilitembelea madoc kadhaa wa ngozi na baada ya muda this is what I have been doing na nikutumia picha yangu beofe na sas ahivi hutaamini.
1. eat health food eg veggies kwa wingi
2. kunywa maji
3. excersize as much as you could
4. uwe unalala vizuri 6 to 8 hrs
5. reduce stress
6. Take vitamins
Now jinsi ya kutake care uso wako
1. Osha vizuri sana lakini mara mbili tu kwa siku. Asubuhi na jioni. Any soap will do it..trust me naoshea uso wangu sabuni za kuogea au sometimes kuna sabuni zinatoka Mexico kama zile za bongo tunazoitwa sabuni za MBUNI lakini sio kali kama za mbuni.
2. Weka moisturize lotion usoni. Usipo weka uso utatoa oil zaidi.
3. Stay away from make ups. Nilikua mimi siwezi kutoka nje bila foundation kuziba makovu lakini sasa hivi natumia make ups kwenye special occasions tu.
And then once a week nafanyaga jumamosi hii naosha uso na oat meal na corrienda (grind together) and then mix with honey and brown sugar if you have. Hiyo unawaza ukatengeneza paste ukaacha 10 to 20 minute. Then I put the egg white for 10 minutes sio kiini cha yai. After that I rinse with whole milk (not a lot three spoons is enough) finaly unaosha uso na maji ya baridi kufunga pores au kam unatumi tone yeyote inafaa kumalizia.
Sina gharama za kununua creams na lotion tena.
I hope this helps
Kutana na mtaalamu WA mitishamba na dawa asili anazo dawa asili za urembo usoni...kukuza hips shape na makalio..anatibu ugumba ..uzazi .kupata watoto mapacha...kukuza uume...mpigie Dr kupitia 0744903557 tanga
ReplyDelete