MISS UNIVERSITY TALENT MUCCoBS -Moshi University College of Cooperatives and Business Studies - MWAMIN (BLUE GOWN) 1ST RUNNER UP ADELLA KIMAMBO (GREEN GOWN) NA 2ND RUNNER UP DARASIA (CREAM GOWN)
MR. UNIVERSITY TALENT-MUCCoBS EDSON TIBAIJUKA KATIKATI ,MSHINDI WA PILI ALFRED SENI ALEYEVALIA KOTI LA SUTI NA SURUALE YA KIJIVU MSHINDI WA TATU MIKONO MFUKONI GILBERT MUSHI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Haya wadau hayo ndio mashindano ya koleji bongo hata kumechisha hakuna. Bongo muswano au vipi?
    watu wanatililia vidudu vya mamtoni to ze hiest level. Wadau wala msikonde kwa wivu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2008

    Hapa mi ugomvi wangu na Mithupu tu...

    kweli hiyo ni kijivu?? na hiyo nayo ni Cream??

    nway naona wapo kama wanaenda harusini...I hope ndo maendeleo tena next time watavaa tofauti kiduchu halafu vivyo hivyo kwa mwaka utakaofuatia....Pamoja

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2008

    Huyo checkbob wa kihaya Tibaijuka sijui..umejitahidi kuvaa vizuri atleast umeonyesha una good taste of fashion,na hao mademu wote mavazi mmechosha ila ni wazuri lakini jifunzeni kuvaa vizuri
    Mdau wa BeverlyHills!

    ReplyDelete
  4. EDSON BIG UP. TUWASILIANNE. EMAIL YANGU NI tgeofrey@gmail.com. KAKA MASO/DEMO

    TUMAINI GEOFREY

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2008

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu naomba kufafanuliwa kuhusu hayo mahindano na vigezo vyake! Maana wale wasichana wote wazuri lakini sielewi kuhusu masuala mengine, walivyokaa pamoja ni kama watu marafiki tu! nafikiri nimeeleweka kwa upande huo wa wasichana. Kwa wanaume ndo sielewi kabisa huyo mshindi labda picha imemtoa vibaya macho yake.Na wengine hata siwaelewi! Kurudi kwenye mada naomba nieleweshwe napenda sana kufuatilia mambo kama hayo lakini hapo nimetoka kapa!Si kwa hapo Moshi tu hata SUA naona niliona vitu vinavyolingana hivyo ndio maana nimeona sasa niulize.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2008

    Watu wengine wa ajabu kabisa. hivi ninyi mlikwenda kusoma au kwenye ulimbwende. si ajabu kichwani hapo hamna kitu na ndo maana mnamaliza shule hakuna ubunifu mnasubiri kuajiriwa na mkiajiriwa ni kwenda kuiba tu.

    Tanzania system ya elimu hofyo hofyo. Chuo kikuu ni mahali pa kuchimbua si kwenda kuulizana nani mzui au kapendeza. lini mtakuw na vyuo vinavyosifika?

    Michuzi uwe unatubandikia waliofanya vyema academically kwani huko na hilo ndo lengo la vyuo.

    Hao watuachie vyuo vyetu na wakuu wa chuo whakikishe wanajenga vyuo vyenye hadhi za kimataifa vinavyoweza kuzalisha watu wa kushindana kwa bongo zao si kwa mapaja yao au misuli tu.

    hao waende bagamoyo

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2008

    WEWE MIVYUOTANZANIA 5:59PM
    ACHA USHAMBA NANI KAKUDANGANYA KUWA CHUO NI KWENDA KUCHIMBUKA TU.CHUO KIKUU SIO NYUMBANI KWA MTU NA KAYA YAKE, PALE KUNAISHI WATU WENGI(JUMUIYA YA WATU MBALIMBALI) WENYE TAMADUNI TOFAUTI. HIVYO HAUWEZI KUEPUKA MIENENDO NA TARATIBU ZILIZO BORA ZILETWAZO NA WATU KUTOKA MBALI. ILI MWANAJUMUIYA UWEZE KURIZIKA NA UWEPO WAKO MAHALI HAPO KATIKA KUKAMILISHA MALENGO ULIOKUSUDIA (UELIMIKE) YAKUPASA UJIFUNZE KUISHI NAO.JE HAYO YANAFUNDISHWA NA WAHADHIRI?.MKUU KUELIMIKA LINA MAANA PANA SANA SIO KUJUA UCHUMI TU AU UDAKTARI,UHASIBU...KUELIMIKA NI PAMOJA NA KUHESHIMU UTAMADUNI,MILA NA DESTURI MBALIMBALI ILI UWEZE KUISHI NA JAMII MBALIMBALI.MFANO KAMA KATIKA JUMUIYA YENU MNATEMBEA UCHI UKIENDA KWENYE JAMII WANAYOVYAA NGUO,UKITEMBEA UCHI NA MIDEGREE YAKO KICHWANI WATAKUONA UMEELIMIKA KWELI?.
    CHUO WATU WANAJIFUNZA MENGI, ILI DUNIA IWE BORA KWAKO UNATAKIWA UJIFUNZE KUSIFU NAWE UTASIFIWA,HIVYO BASI VYUONI HUWA TUNATUMIA MUDA WETU WA ZIADA KUWASIFU WENYE VIPAJI MBALIMBALI WAKIWEMO WANAMICHEZO, SIO WAZEE WA GPA TU NDIO WANAOTUKUZWA HATA HAWA WANA NAFASI YAO,VIPAJI VYAO VIMEWEZA KUWAKUSANYA WATU PAMOJA.
    MASHINDANO HAYO NI MUHIMU VYUONI(SIO MASHINDANO YA ULIMBENDE MKUU NI MR AND MISS TALENT)KWANI NI MASHINDANO YA KUWAPA NAFASI WENYE VIPAJI MBALIMBALI KUONYESHA HADHIRA UBUNIFU WAO NA JINSI GANI WAMEKWIVYA KATIKA SUALA ZIMA LA TAMADUNI MBALIMBALI
    MWENZETU UMESOMA CHUO KIPI,SHULE IPI AMBAYO HUKUKUTANA NA WATU WENYE TAMADUNI TOFAUTI NA ZAKO!
    AU WEWE TAMADUNI ZAKO NI BORA KULIKO ZA WENGINE.
    MKUU NAWASIWASI NA MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA SIJAELEWA NINI MAANA YA
    mzui
    mtakuw
    AU NI MANENO MAPYA YA LUGHA YETU TUKUFU YA KISWAHILI

    CRUX YAR-DIE

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 02, 2008

    mwenye shati la cream katoa macho kama kakamatwa ugoni hehehhe

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 02, 2008

    congrats Adella mdogo wangu,long time but i was happy to see you hongera sana.
    jane

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 02, 2008

    Poa sana kamanda Edison Tibaijuka nakukubali kaza buti kamua shule kijana na ongera kwa kuwa Mr.university.ni mimi mbeyee.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 03, 2008

    Yap Yap Tibaijuka,naona single yako uliyoitoa sasa ianaanza kufanya kazi(PIGA GARAGAZA)Big up sanaaa !!keep it ,we anon wa5:59 kuwa chuoni sio kupiga book tuu kama huna talent kaaa kimnya.
    COM B (Turkey)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...