emmy melau toka a-taun mshindi wa shindano la face of tanzania lililofanyika usiku huu hoteli ya moevenpick, dar, akifurahia baada ya kutwa taji
shindi wa pili yvonne ramomi toka zenj (kulia) na mshindi wa tatu edna makanzo wa dar (shoto)
balozi wa palestina nchini na tatiana wakiwa na emmy (tatu kulia), edna makanzo (shoto) yvonne ramomi (pili kulia) na balozi wa redds victoria martin (kulia) baada ya fainali usiku huu

balozi wa redds kuna nguo zinampendeza na nyingine mhhhh
ReplyDeletena huyo ya kushoto kabisa hiyo shingo ndio nini?
Hongereni sana,but dada mwenye Red was too serious!!!
ReplyDeleteMdau.
Mr. Ebo (Mi masai bwana..mi masai) umeipata hiyo. Maasai (Melau) kaingia wenye ulimbwende. Sijuwi kama ataendelea kudumisha mila huko anakoelekea!
ReplyDeleteMhu!!!!!!! Sasa huyo balozi... Si semi sana, waosha vinywa nisaidieni.
ReplyDeleteMulox
balozi wa pakistani anajichagulia tuu,eheee.totozi za kibongo
ReplyDeletebalozi wa palestina vipi?mbona mkono upo pabaya
ReplyDeleteOne word-Anorexia
ReplyDeleteEmmy nimefurai Hongeraa!!! nilijua utashinda kwani wewe ni mzuri na tangu uko kambini nilikufuatilia sana nikaona hakuna zaid iyako,mliobaki msichukie endelezeni yale mliopewa kambini MAJAJI MMEJUA KUCHAGUA!!CONGRATULATIONS!!!!
ReplyDeleteSura ya huyo balozi inanitisha kwani,hao watoto wawe makini nae mengi sitaki sema ila sura yake inasema kila kitu. Ipo siku mtaelewa nisemayo.
ReplyDelete