mdau wa www.tanzaniasports.com israel saria akiwa na meya wa london mstahiki ken livingston karibuni ambapo alipata intavyuu fupi naye. pamoja na kuishi ughaibuni saria amekuwa mstari wa mbele kupigania maendeleo ya michezo bongo ambapo tovuti yake imekuwa ikifuatilia kwa karibu maendeleo na habari za michezo nyumbani. mahujiano yake na meya bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wosapu Saria, yua webusait biin advataizid hia izi gudi bati ze problemu izi ze langweji yu aa yuzini, oo yu menti iti izi fo samu tanzanianz and zozi inze yukei bati tu teli yu tu so mene tanzanianzi inglishi izi e meja problemu soo konsida dhisi, kanti yu sii Michuziz blogu, noti iveni e web kipsi flaurishini dei bai dei, eneweizi Ai donoo yua tageti bwana labda BBC! azawaizi Thambs apu!

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu jamaa ni bondia au? Mbona amekaa kama katoka raundi kumi na Tyson? naona anamtisha Meya wa London tu daah!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...