Wadau mnakaribishwa katika Sherehe ya Muungano ambayo tutaifanya hapa Seattle April 26, 2008, siku ya Jumamosi.
Get together hii itafanyika kwenye Club maarufu hapa Seattle ya Wades.
TanzaSeattle inaalika wote.
Zaidi kwa mawasiliano zaidi wawasiliane nami,
206)-817-6944.
Mdau Rahim.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Congratulations!This is the stuff partying together as Tanzanians that we have been wishing you Boys aboard to do all this time!Too bad I wont be able to make it this time since Um down here in Bongo.But I wish I was there doing the Groooooooooooooooooooooovie!Wish yo all the best and make sure it stays inside know what I meannn!See yo next time.Bust.

    ReplyDelete
  2. hivi ulikosa picha ya warembo wa kiafrika ...ukatuwekea hao watoto wa high school..tena walikuwa kwenye cheer..ya timu yao football

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...