mdau siya na mai waifu wake dorina wakiwa na wazazi wao baada ya kumeremeta leo kanisa la mtakatifu peter ostabei na kisha kwenye bonge la tafrija katika ukumbi wa diamond jubilee hall

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. KAPO IMETULIA...GUDULAK

    ReplyDelete
  2. Safi sana Siya naona umechukua kitu cha nguvu. Suti imekutoa mtu wangu

    ReplyDelete
  3. ULIKUWA MBISHI SANA KUOA, KUMBE NATURE BWANA HAIBAGUI, NAKUPA HONGERA NA KILA LA KHERI KATIKA MAiSHA MAPYA,ukitaka desa nitakupa utoe kopi-KALENGA(TA-structure)nipe -mail yako yangu anayo Eradius-CANADA.Thanks bro michuzi.

    ReplyDelete
  4. mmh! mmpendezi.

    ReplyDelete
  5. Mashaallah, mmmh jamaa kabeba mzigo wanguvu, yaani uko full viwango! Kama inapita shirika la viwango (aka TBS kwa pale bongo) basi nagonga stamp "certified"!
    Mwanamke nyama nyama...!

    Waswahili wanasema "mtegemea nundu haachi kunona..."

    ReplyDelete
  6. wow!!! Dorina hongera sana na Siya pia... mmependeza saaaaana...michuzi aksante kwa kutuhabarisha...maana wengine tuko mbali hata hatukusikia kabisaaa

    ReplyDelete
  7. Siya...my classmate jamani ..hongereni sana ..mmependeza sana!! All the best!

    ReplyDelete
  8. Hongera sana mwa Kifungilo Dorina Kilama, Mungu awabariki mnapooanza maisha yenu ya ndoa iwe ya amani na upendo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...