TAIFA STAAZ IMESHINDA BAO 2-0 DHIDI YA HARAMBEE STAAZ YA WATANI WA JADI NA KUFANIKIWA KUSONGA MBELE. MAXIMO OYEEEEEEEEEEE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michu wacha utani! Tumewalamba vijana wa Jacob "Ghost" Mulee? Safi sana hii, asante kwa kunichangamsha wikiendi hii.

    ReplyDelete
  2. michu, pamoja na kushinda soka la taifa stars bado bovu wachezaji wanacheza bila malengo basi sio za uwakika foward line sio makini na sio jihadi yaani hawajitumi kwakweli

    ReplyDelete
  3. ushindi unaonekana ni wa kubahatisha. timu bado. huyu kocha uwezo mdogo.

    ReplyDelete
  4. OYEEEE!!! LAKINI ASIBWETEKE MTU HAPO

    ReplyDelete
  5. maximo amejitahidi sana kuifikisha stars hapo ilipo, ila wabongo wanasahau kabisa tulikua wapi kabla huyu jamaa kuja, ukweli ni kwamba hata tukimleta sir alex ferguson kiwango chetu hakitabadilika ghafla kwa sababu stars inaundwa na wachezaji kutoka klabu kama simba, ashanti nk ambazo viwango vyao ni vibovu kwa hiyo maximo asilaumiwe ili ni tatizo letu
    1.ligi ya ridhaa
    2. hatuna professional players nje ya nchi
    3.program za kuendeleza vijana ndo tumeanza
    4.klabu zetu hazina program za kuendeleza vijana
    5.tunaipenda stars inaposhinda tu
    6.stars ikishindwa kocha mbovu kiwango chake cha kufundisha kimefikia mwisho.
    maximo tum-support lakini tusitegemee maajabu ghafla jamani wa-tz tuwe wavumilivu maendeleo ya soka hayaji haraka haraka ila kwa program nzuri

    ReplyDelete
  6. yes! maximo, duh maana una kazi kwelikweli maana wachezaji wetu na vilabu vyetu mi nakuonea huruma, tunakusingizia kwamba hufai kumbe tatizo ni sisi wenyewe.

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ni kocha kweli!yaani amewaweka kambini siku 3 tu hawa vichwa ngumu na wameshinda?!kweli Maximo kiboko.Mbona hujatupa picha za mechi Michuzi?!Huyu Maximo akipata watu wenye vipaji kama kina Said Mwamba, Edward Chumila na Zamoyoni Mogella hii timu itafika mbali sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...