lucy shule akifurahia tunzo ya mdogo wake vicensia shule aliyetunukiwa tunzo ya uandishi wa makala uliotukuka katika hafla ya tuzo za chama cha waandishi wa habari za sanaa na utamaduni usiku huu katika hoteli ya peacock, mnazi mmoja, dar
deo mwanambilimbi na bendi yake ya kalunde walikuwepo kutumbuiza
debora nyangi chacha wa bendi ya kalunde akifanya vitu vyake
ti cha udhamini wa hafla hii nzito
meza kuu ikiwa tayari kwa kutoa tunzo kwa waandishi waliofanya vyema kwenye kuandika mambo ya sanaa na utamaduni mwaka 2007. shoto ni bosi mfugale wa hoteli ya peacock

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. dada debora asante sana kwa kuwaonyesha akina dada kuwa hata ukivaa vizuri bado unaweza kunengua.manake wakina dada zetu huwa wana cheza almost uchi,asante dada yangu

    ReplyDelete
  2. Picha ya juu kabisa jamaa wa kwanza kushoto hilo pozi lake mh!Ebu nisadieni mnaona limekaaje?

    ReplyDelete
  3. Nimefurahi sana kumuona Lucy Shule.Ni sister Bomba sana alinisimamia seminars nilipokuwa Mliman na hana complication.
    Anakupa comments na anakusaidia jinsi ya kujibu swali.Ilasijui kwasasa Lucy yuko maeneo gani akifanyia kazi.
    Kila la kheri Lucy Shule.

    ReplyDelete
  4. GO GO DEBORAH.USAFIRI BADO UPO TUMEUONA.
    By y'ur old boy friend,Kevin Matula.

    ReplyDelete
  5. Mh.Mkuu wa Wilaya ya Tegeta Ilalakinondoni,
    Huyu dada Deborah kweli ni balaa,kwanza anavaa kiheshima,ana mguu wa kihaya,usafiri si haba,ngozi rangi ya chungwa,sura inahitaji tu...!!! Wow hongera dada Debora natamania nilushe ndoana lkn ndivyo tena sijui CV yake....!!!.Inaonyesha anafanya muziki kama ofisi/taaluma zingine...!!!.
    Mdau,
    MN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...