Mbunge mpya wa Bunge la Afrika Profesa Feetham Banyikwa akiwa na Mbunge wa Kuteuliwa Al-Shymaa Kwegyir katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kutangazwa jana. Banyikwa ni Mbunge wa Ngara CCM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu mbunge wa Ngara natulostisha tuu! Yaani inabidi vijana tufanye hima tukalichuke Jimbo. Mzee tangia awe mbunge hajafanya lolote na uprofesa wake! Ngara deserve better!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mama kwa kuukwaa ubunge....usijisahau...wakilisha kina Mama wenzako na Wananchi wote kwa ujumla..hiyo ndiyo kazi uliyopewa na usiwe kama wabunge wengine ambao wakishachaguliwa wanasahau kabisa kama kuna watu wanaowawakilisha na wanaanza kushikia bango mambo mengine kabisa kama Mafao na per diems zao>>>>>

    ReplyDelete
  3. Hivi jamani mbunge wa kuteuliwa anamuwakilisha nani? hii demokrasia sijui tuliiga wapi! No wonder Africa tunazidi kuwa vichwa vya mwenda wazimu tuu! we have represenatives who are not representing anybody than serving the interests of the ruling party! But guess what? wanakula jasho letu kwa kupewa mishahara mikubwa....

    ReplyDelete
  4. anon wa kwanza vipi kwani aliwaahidi kuleta dawa za kupambana na ivunja na infuku na bado hajatekeleza ahadi yake?BTW Wabunge wote wa ngara huwa ni wazembe Gachocha alishinda bungeni miaka nenda rudi hata hakupigia debe kuletwa kwa Umeme ngara.Ngara ni moja ya border inayoletea nchi pesa kibao.
    Halafu kudhani kwa vile ni prof. ataweza kubadili mambo tusahau.Wasomi wengi hawafanyagi vyema kisiasa.

    ReplyDelete
  5. Mbigiri swala siyo invunja..swala ni kwamba Profesa kachoka..hawa wazee wanastaafu harafu ndo wanakuja kuwania ubunge...

    Ngara tambarare...achana na hizo za invunja sijui nini....I dont expect much because he is a profesa no...but I wanted him to be responsible..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...