Home
Unlabelled
wadau wakiwa bergen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh umetunyima majina yao. Kuna mshikaji hapo nimemfananisha na jamaa yangu anaitwa Sigmund, tulikuwa naye Kibosho miaka hiyoo ya nyuma.
ReplyDeleteSALAMA WADAU WENZANGU WA NORWAY..NAONA MNAPUMUA SASA BAADA YA BARIDI KUANZA KUTOKOMEA...KULENI NONDO WADOGO ZANGU!!!HAD DET BRA.
ReplyDeleteNamwona mdau wa afya ya jamii..John George!! nimefanya naye kazi Family Health International kwenye mradi wa Ishi kabla hajaamua kwenda kuongeza Nondo...vijana wote wangekuwa kama huyu bwana nadhani Tanzania bila ukimwi ingewezekana!! Hongera sana John George kwa kuzidi kuongeza Nondo...keep it up.
ReplyDeleteMajina ni kama yafuatavyo:
ReplyDeletekuna Dr Abuu Mzirau, Dr Heri Marwa, John George, George Ruhago, Emmanuel Makundi, Dr Petronilla Ngiloi, Dr Mwendwa Mwenesi, Sia Malekia, Dr Vishnu Mahamba, Toyi Midaba, na coordinators wao Bjane, Unni na Hope!
DOH!!!!!!!!!!!!!halafu nasikia kuna
ReplyDeletebaridi sana huko???heti kweli??
kama mkimuona Nasibu !ras nas
msalimieni!
Dah, nimefurahi sana kuwaona marafiki zangu, kaka zangu na mwalimu wangu.
ReplyDeleteMwalimu Tumaini Nyamhanga, shikamoo sana.
Kaka George, spika wa zamani wa bunge la wanafunzi la MUCHS enzi hizo, shikamoo kaka. Halafu wewe George Manchester sana. Unakumbuka QBar? Mmeniuziiiiii Man!!!!
Kaka John George, shikamoo sana kaka.
Na wengine, nawasalimia. Hongereni sana, kamueni shule wazee. Mwendo ni shule tu. Mmenikumbusha sana Sweden, kipindi kama hiki kuna ukijani fulani unatoka na maua fulani, duh huwa ni kuzuri sana.
Ni mimi E.Mpolya kutoka Chuo Kikubwa cha Tohoku huku Sendai Japan. Tunakula International Public Health for Human Security kwa kwenda mbele tu....
Mdau anaetoa salamu kwa nasibu mwanukuzi yupo Oslo na anaendeleza mambo ya muziki na ametoa albam mpya iitwayo Dar es salaam
ReplyDelete