naibu waziri wa miundomibinu dk. milton makongoro mahanga akimpongeza bosi wa atc david mataka baada ya ndege ya airbus A320 ilokodiwa na atc kutua dar jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2008

    asante ni kweli tumepiga hatua. Je! Ni kweli Chenge kanywa simu kafa????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2008

    Hivi watu wengine sijuhi. Akili finyu yani mtu kanywa simu akafa mahana yake nini? Nyamaza kama una matatizo na keydoard.
    MULOX

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2008

    Kaka Michuzi,
    Hivi huyu bosi wa ATC mbona amefanana na tsivangarai yule wa Zimbabwe ni mtu na nduguye nini au ndio ulimwengu watu wawiliwawili.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2008

    Sijuhi?? Mahana??? kisha unathubuti kumkosoa mwenzio, ka!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2008

    mnapiga hatua kwa kukodisha ndege?
    mimi sijui tutafika somewhere lini?
    mmewahi kuona ndege za Angola?inasikitisha kujidai na ka Airbus wakati wenzetu ambao walikuwa vitani kwa muda mrefu sanaaa wakati sisi tunafisadiwa na kuzidi kuwa masikini tunalumbana na muda ndo unazidi kwenda hivyo eboo!
    ingekuwa imenunuliwa kwa pesa walizorudisha mafisadi ningesema ewaa!
    masikini jeuri bwana!
    mdau sweden

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2008

    Jamani, msije mka overload hiyo ndege! Itanguka!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2008

    Congrats ATCL.Michuzi narudia tena kukumbushia.MATTAKA+OTHERS.WEBSITE YA ATC HAINA CHOCHOTE ZAIDI YA KUSEMA , TANGU NOVEMVBER MWAKA JANA!"THE WEBSITE IS UNDER MAINTENANCE FOLLOWING OUR REBRANDING"Msilale ATCL mpeperusha yetu,tunajua mmeliwa firigisi siku nyingi hata hivyo mmejitahidi sana lakini FISADI atakayewagusa sasa hivi tunakufa naye

    ReplyDelete
  8. HAYA MAMBO YA KUPATA GARI LA KUKOPA (LEASE) VICHWA VYA TRENI VYA KUKOPA ALAFU MENO THELATHINI NANJE YOTE MBILI. HASARA TUPU.HATA UKIWA NA NYUMBA YA KUKODI UNAPIGANIA UJENGE LAKINI UNATAMANI NA UNAPIGANIA UJENGE YA KWAKO THATHA HA WA WAZEE WA TEN PATHENT WANAPENDA KUKODISHA.

    TUMAINI

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 02, 2008

    Ama kweli ATC mnashangaza sana. Yaani kupata ndege moja ya kukodi mnafanya party na kumwalika waziri, yaani yote hayo yanakula pesa zaidi. Mtalipana allowance hapo, kisha waziri sijui nae per diem nk. nk ili mradi tu kuna sababu ya matumizi.

    Sasa ebu jiulizeni kama Kenya Airways wangekuwa wanafanya party kwa kila ndege wanayopata, si mwaka mzima ingekuwa party tu?!!

    Pls fanyeni kazi, acheni ulimbukeni ala!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 03, 2008

    we MULOKOZI, yani umenichekesha, nimecheka hadi nime chock nikaishia kuhohoa,

    well, hivi Mulokozi, wewe mwenyewe Muhaya halafu unajidai eti nawe unajua kiswahili, kweli umemkosoa anon hapo juu eti labda anamatatizo na keydoard, hiyo ni keydoard au keyboard??, then SIJUHi, MAHANA,

    typing error kila mtu inamtokea sio lazima kila ukiona kosa ukosoe, kama unasahihisha mtihani hapo sawa, we are here to relax after working long days and mchaka mchaka wa kila siku, so sio lazima tuwe makiiini kwa kutype, samahani kama nimekukwaza,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...