kaka habari za kazi, Pole na uchovu wa 50 Cent.


Kaka hebu ka bandike hako ka picha, kuonyesha Libeneke la GUTA huku ufilipino

regards
Ekonjo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2008

    Habari nzuri kwa wabeba mabox, nadhani mnalitolea mimacho hilo guta kwamba mngelitia mikoni mwenu au tu huyo jamaa angewaazima mngemake vijisent zaidi!
    vena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...