Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2008

    There was a Mzungu, who did an intensive research on Tanzanian wages from multiple professional disciplines.

    It is interesting, to say that once he completed his research. he suddenly decided not to release his findings in Tanzania. He went to Kenya instead.

    Once there, he released his finding's to the media. This is what he had to say "Majority of Tanzanians are THIEVES", the reason being people of profession like judges, police, civil servants and so forth, are spending and using more than their wages suggested, so his conclusion was they must be stealing from somewhere. Although I may not agree with him totally, but if you scratch the surface there are lot of people doing just that, but who to blame for that trend ? and thats the question we all have to answer.

    Corruption ? Why that ?

    Is our wages inflation is pretty bad, that it never encompassing the real living standards ? Or May be we never been inovative enough on public jobs sectors, that the job of one is done with 5peoples, Many had experience that situation, whether on service sectors or internal work structure within our organizations, that including our Embassies abroad. you seems not to get what you want, in TIME and consideration, no body cares in most of government public service sectors.LOL

    If we improve our job structure that would have improve wages standard-meaning downsizing, if we fully engage in innovation, and not 60's system. IT should play a big role in doing that.

    Or there are no Enough Jobs out there paying a good wages except being a politician. I think thats the only job seems to be paying a good wages, thats why we are seeing a lot of political branches and kids ambitious to be MPs, and still they never be satisfied, abusing powers by being influential in matters concerning the good citizens well being. POLITICS is the only good industry, so we understand.

    Or we are too lazy, to think of INNOVATION, we wait for others, ie investors with empty briefcase to do the job for us. We don't have a sense of believe on ourselves. we need MIND INTOXICATION big time.

    Also, I must say that, until we find the root of the problem, mainly for my understanding is lack of education, education, education, if we dont vigorously invest and pursue on that goal, then we will still be stuck in MAD and be poor, and guess who we entrust to do that, our greedy politicians, never think of better way of resolving issues rather than self indulgence.

    coming to conclusion just to resolve you personal finance pocket for time being, as suggested by KIPANYA "KAULI MBIU YA MWAKA HUU NI USITEGEMEE MSHAHARA, TUMIA AKILI YAKO". because that the only idea, which seems to put our wages onto check. Wages' raise African Style. I am glad to say that we have that in abundance, wish we could put that energy into proper use. Our mind is too much OCCUPIED with illegal money making tactics, than the job itself. That SAD, We wish they would listen. Don't ask who?

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2008

    heheheheh kp! mimi namuonea huruma huyo mwenye tumbo maana kama hana hela atakufa tuu, lkn huyo mwingine kama hana hela ataenda jela au atakuwa hajatendewa haki yake, lkn mwenye tumbo mhhh1 pole zake weee! mei mosi njema jamani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2008

    Kipanya ndugu yangu sasa watakufunga buree hahahaaaa... (natania). Wewe ni mkweli sana kipanya na unashirikisha akili na una fikra sahihi kabisa katika hili.

    Kwa mishahara halisi ya watanzania wengi na matumizi yao ni vitu ambavyo havishabihiani kabisa. Watanzania tunamatumizi makubwa kuliko mishahara yetu. Mishahara hailingani na hali halisi ya maisha hasa Dar. Chukulia mfano, raia anayelipwa kima cha chini cha serikali ambacho kama niko sahihi ni 80,000/=(naruhusu kurekebishwa) na huyu raia nauli yake kwa siku ni shillingi 600/= kwa mwezi ni 18,000/= chakula asubuhi mchana na jioni ni shilingi si chini ya 3000/=(90,000/= kwa mwezi)bado kuna mambo mengina kama kodi ya chumba/nyumba, gharama za hospitali nk. Sasa unategemea huyu mtu asitafute rushwa? Au kama ana uwezo wa kujipa semina kila week asifanye hivyo? Na kama ni dereva je ataacha kuiba mafuta na kughushi hizo risiti za vipuri? Au unatarajia huyu mtu afanye kazi kwa umakini na kujituma ? Unategemeea huyu raia asiwe na bishara zake pembeni?

    Kwa hayo naungana mkono na kipanya"USITEGEMEE MSHAHARA,TUMIA AKILI YAKO". Kwa uelewa wangu kipanya amewakilisha kilio cha wafanyakazi walio wengi kwa Mishahara ni duni, na hii ndio hoja inayotakiwa ifanyiwe kazi.

    Wasalaam

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2008

    Huyo annony wa kwanza habari yake ni njema na ina ukweli tatizo ni lugha inaelekea kajifunzia ukubwani.

    Naomba wakti mwingine aandike kiswahili kwani inanoga, inaonyesha tumeacha ulimbukeni wa kuhusudu lugha za kiingereza.

    AANDIKE TU KISWAHILI au basi atafute mtu wa kurekebisha hiyo lugha ingekuwa spelling tu nisingejali. shida ni kufikiri kwanza kwa kiswahili kisha unatafsiri kwa kiingereza ndo unaandika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2008

    shukrani mchangiaji wa kwanza. umegusia elimu lakini nataka nikuhakikishie kwamba hata elimu hii watu wanayosema wawekeze kwayo, sio elimu hii ya kibongo!!!
    kwa definition yangu huwa na define education as'THE KNOWLEDGE WHICH APERSORN AQUIRE AND IT DOES HELP THAT PERSON TO MAKE ADVANCE FROM ONE POOR LEVEL TO A BETTER ONE"
    kwa mtizamo wangu, nchi hii watu ilio nao tukizungumzia as acollective ukweli wa kuitoa nchi kwenye poor level to a better one siuoni. so sioni kama kuna elimu bongo.
    PIA HAKUNA NCHI YOYOTE DUNIANI ILIYOENDELEA BILA KUWA NA TEKNOLOJIA YAKE YENYEWE. kwa lugha nyingine NCHI HAIWEZI KUENDELEA KWA KUTEGEMEA TEKNOLOJIA YA KUNUNUA.
    hapo utanipiga hadi uniuwe lakini kauli yangu naweza kuitetea hadi nife kuwa is true nothing else but truth only!
    yaani hapa ndipo watu wa rangi zingine walipo chomokea, nasisi tukabaki nyuma!!!! usitegemee kuna nchi itakuuzia technology wanayo itumia kwa wakatihuo, matokeo yake utabaki una lag behind forever!!!
    I CAN GUARANTEE 100% Tanzania kupata economic progress ambayo ita boost pia kilanyanja ya maisha IF AND ONLY IF ita indulge na kuiendeleza technolojia yake yenyewe.hapo kutakucha wapende wasipende. maana utakacho zalisha utakitumia,bila kutegemea kuagiza kisha ulipe.
    mambo ya ma investor ok!SIKATAI lakini hiyo ningeshauri iwe ni strategy ya first aid!yaani kumfanya mgonjwa afike hospitali apate matibabu sahihi.
    matibabu ya uchumi wetu ni technologia yetu wenyewe,TUAMKE serikali iandae michakato mipya ya kuiendeleza technologia ktk nyanja mbalimbali- kwanza hatuna technology yeyote,eti jamani niambieni zaidi ya kununua kilakitu toka nje.wasomi wa vyuo vya ufundi,engineering departments za vyuo tofauti inabidi vionge na serikali na kuanza ubunifu wa techolojia tofautitofauti na kuzijaribu,najuwa mwanzo ni mgumu lakini at the end we shall break through!
    tuache hayamambo ya kusingizia fedha za wafadhili,UNADHANI UTAFUGHA MBWA KWA KUTEGEMEA MAVI YA WALEVI????? hahahaa hapa utakuwa unacheza.
    maana utachimba madini, utauza kisha pesa utakayopata utaanza kununua matrector,sindano za kutumia hospitalini,madawa,utakodishia mitambo ya kuzalishia umeme, utaagiza computer z kutumia vyuoni na mawizarani,less to mention
    sasa swali nihili, hivi hayomadini yakiisha huyo investor aliyewekeza ktk sector hiyo atabaki tanzania akifanya nini?je wewe niliyo taja hapo utayanunuwa kwa kutumia nini? can't you people open your eyes and see? au hamuoni kwamba utumwa unajongea taratibu kuja kuvipatavizazi vijavyo? oneni mfano wa zimbabwe sawa wanafanya ujinga, lakini wakikatiwa misaada kidogo tu wanaanza kukosa hata chakula[a very sensitive humani need]
    kwakuwa no one cares,wanasiasa wanajaza matumbo yao wanakula kona,hawashirikishi nguvu wataalam na kuwachallenge ili watumie ujuzi wao kuiendeleza nchi, imebakia tu ni wimbo wa taifa tunajitegemea kumbe si kweli wala hakuna dalili za kujitegemea.na wanao soma nje akisha ona taabu alizozipata akisoma kama babayake sio fisadi wa kumfanya aponde mali ya nchi na yeye,kama ni mtoto wa baba kabwela akimaliza tu masomo inabidi alalembele atafute palipo na green pastures ili angalau naye apatewalau vijisent vya kumtoa kidogo akingali hai!!!
    IN TANZANI IF THERE WILL BE NO TECHNOLOGCAL REFORM, THERE WILL BE NO FUTURE,NO CHANGES,THE SAME DRAMMA WILL REPEAT IGUARANTEE YOU 100%

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2008

    Kaka kp,inaelekea wewe ndio peke yako una namba ya simu ya mzee BWM !
    Haya mahojiano aliyafanya na times ya hapa UK miaka mitatu iliyopita naomba umuulize kama bado anaamini ni kweli !


    From The TimesFebruary 18, 2005

    Mugabe right despite chaos, says Tanzania
    By Chris Johnston
    PRESIDENT MKAPA of Tanzania has claimed that Robert Mugabe is not to blame for Zimbabwe’s devastated economy, hunger and poverty. “It was the cost of transformation,” he said. “Everything has a price.” In an interview on the BBC World Service he rejected suggestions that Zimbabwe was not a well-run country.

    “I don’t see Zimbabwe as an illustration of bad governance; I don’t buy it.” He also criticised the country’s embattled opposition: “Mayhem can be started by opposition parties, especially when they’ve decided to get into State House by hook or by crook.”

    Zimbabwe’s Movement for Democratic Change called him “ignorant”. The Tanzanian leader’s comments are also likely to embarrass Tony Blair, who chose him to sit on a 17-member Commission for Africa.

    Mr Mkapa’s government received more than £80 million in British aid last year.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...