Home
Unlabelled
kp wa uganda leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother Michu kwa kweli sio watu wa Nje tu, hata mimi mara nyingi nachanganyikiwa sielewi Ipi Kilimanjaro Stars, JK Boys, Ipi Taifa Stars, Ipi Serengeti Boys etc. Naomba Taulo hapo
ReplyDeleteTaifa Stars: Ni timu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ReplyDeleteKilimanjaro strars: Ni timu ya Tanzania bara (yaani iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika)
Zanzibar heros: Ni timu ya visiwa vya (Unguja & Pemba)
JK Boys: Ndiyo hiyo hiyo Taifa Stars.
Mungu Ibariki Tanzania
Taifa Stars ni timu ya taifa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pale inapofungwa. JK Boys ni timu ya taifa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pale inapopata ushindi kwa mujibu wa waandishi wachache wa habari. Haikuweza kufahamika mara moja ni nini kilichowahamasisha waandishi hawa kutumia jina hilo kwa mara moja ukizingatia kwamba timu ilikuwepo kabla ya JK kuwa JK na ni timu ya Watanzania wote, sio JK.
ReplyDeleteNgorongoro heroes ni timu ya vijana wa Jamhuri ya Muungano Tanzania wenye umri chini ya miaka 21 nafikiri.
Serengeti Boys ni timu ya taifa a vijana wa Tanzania wenye umri chini ya miaka 17 kama sijakosea.
Twiga Stars ni timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.