nampa hongera kaka ephraim mafuru kwa kuula leo hoteli ya impala hapa a-taun. yaani baada ya kusota kwa takriban miaka minane kaka mafuru jana katangazwa kuwa bosi mpya wa masoko, udhamini na mawasiliano wa kampuni ya voadcom nafasi ambayo imewafariji wadau wengi wa kampuni hiyo kutokana na uzoefu na uwezo wa mafuru katika 'fitna' za kibiashara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2008

    Fasta napeleka CV zangu,hongera Mr.Mafuru

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2008

    Hongera Bwana Mafuru!!
    Hii inaonyesha jinsi gani juhudi binafsi zinaweza kumnufaisha mtu kalaghabao wanaosubiri vyeo vya kupewa.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. Kwani siku hizi makao makuu ya VODACOM yapo Impala Arusha au ni sababu gani zinazofanywa atangazwe boss mpya akiwa Arusha?? Waosha vinywa nielimisheni msinizodoe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2008

    Kaka ephreim Madagaa(Mafuru) nami nakupongeza sana kwa kweli, katika masoko umejitahidi kupambana maana si mchezo ni mtandao unaoongoza hapa bongo kwa kweli. Hii inaonesha kumbe hata watanzania tunaweza. Katika kazi ni kujituma na kuonesha uaminifu,ubunifu ktk kazi. Kaka big up

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2008

    hongera bro mafuru,kazi zako tunaziona.u deserve it

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2008

    duh, hongera bwana, jamaa alikuwa mpenda sifa huyo... duh watuulize sie tuliekuwa nae a-town kipindi kileeeee.......... haya bwana

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2008

    Yeleuuuuwiii....Tigo wadhamini si watakutoa loho michuchu??

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2008

    Mwenyekiti mimi nadhani Bwana Mafuru hakuwa anasota kwa hiyo miaka 8.Bali katika kipindi hicho naamini alikuwa anajifunza zaidi na kujenga uzoefu wa kutosha kuweza kukabidhiwa majukumu muhimu na mazito kama tulivyoshudia leo.Ninakupongeza bwana Mafuru na kukutakia mafanikio kwenye jukumu hilo jipya na muhimu kwa mustakabali wa kampuni.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2008

    huyu mafuru ana elimu gani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2008

    Jamaa mpiganaji sana, yaani kwa ujumla jamaa ni kichwa katika kuchonga kuhusu biashara. Nakumbuka jamaa Enzi zile UDSM tulikuwa nae kwenye Peer Educators iliyoongozwa na Manonge Jamaa alikuwa akijenga hoja sana mpaka tukawa tunapewa posho. Hongera sana Former VP wangu UD ukisikia Career development ni hivyo. Kazi ya masoko inataka mchongaji ambaye anapangilia hoja kama wewe yaani Jamaa kama "OBAMA" vile kwa kupanga hoja.
    Congrants!!!

    Ila siyo nilete CV ujifanye hunijui hahahahaha BIG UP MAN

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 28, 2008

    hahahaaaa, kaka MICHUZI bwana! haya!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2008

    Jamani...Impala ndio wameweka sehemu maalum katika mawasiliano ya sulivan..ametangazwa dar es salaam...ila sababu Mafuru yuko Arusha kwa week 2....ndio sababu ametangaziwa....akiwa AR

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2008

    mafuru alikuwa bosi tayari sema tu juu yake kulikuwa kuna mtu mmoja.sasa yeye ndio bosi mkuu akisema yes ni yes no ni no.hapa naanda cv jamaa hawezi nitosa nimesoma naye

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2008

    Michu wakati mwengine unajidhalilisha kumwita mtu kaka kwa cheo chake au wadhifa wake navyokujua michu kiumri unaweza kuwa mkubwa kuliko Mafuru.usijitoe utu wako kwa cheo cha mtu unaweza kumwita dogo mafuru inatosha . na nakuomba usibanie comment yangu plz. mdau Paka la jikoni UK.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 29, 2008

    Acha kubabaikia Watu wewe Michuzi kila mtu mwenye ujiko .ambaye amekuzidi kidogo ..utamwita ,kaka au dada mbona wale wasioku na kitu huwaiti hivyo...

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2008

    Aisee mie nataka kumtumia namba ya kilongalonga, 0753109803 ili nami anitoe kama yeye aisee. Kumbuka enzi za 2000 tunamaliza chuo, Nampa Big up sana huyu jamaa kwani anadeserve kupata. Ni kicheche saana wa maneno na ndio ukali unaotakiwa kwenye fani ya masoko. Halafu nami niko Atown hivyo ni rahisi kunipata. Just Bip nami nitabiga. AAAAAAAAAAAAAAA kumbe wewe ni bosi uruhusiwi kubip ila unapiga tu. Basi big basi.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 29, 2008

    kuna mtu ameuliza Mafuru ana elinu gani, Mafuru ni injinia by professional, hila mtundu na uko bright , masoko, ni ubunifu na watu wachache wana uwezo huo, bigup
    mdau
    vodacom

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 29, 2008

    Mdau unayeuliza Mafuru ana elimu gani; mafuru sio engineer wewe mdau wa vodacom, Mafuru alianzia diploma in marketing CBE akaingia BCOM Marketing UDSM na tumesoma naye juzi tu MBA Finance ya UDSM ila alichukua combination za science high school.
    wakatabahu BIBI UMEME

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2008

    Hongera Mafuru!
    Fitna za kibiashara mhhh !!!!

    ila historia na mtiririko wa shule yako unaonyesha jinsi ulivyo focused kwa maisha na kazi, tukiacha mambo mengine ambayo umefanikiwa!!

    Binafsi kama college mate bado nakumbuka copy ya kitabu ulichonipatia "How to win Job interview" kimesaidia wengi! maisha na kazi si lelemama

    inahitaji kutimiza wajibu kupata haki yako!

    Kazi njema ni mfano kwa wengine!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2008

    nilikuwa najua yote uliyoandika, lakini mbona hukurespond mlipoulizwa, nilikuwa nafanya research nimekupata wewe kama smple, kuwa sikuzote wabongo huwa hawaanzishi wanakosoa tu. haya bibbi umeme asante. najua hilo cvf zote ziko wazi tu.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 31, 2008

    Marketing ni zaidi ya kupiga mdomo (selling), ukiona mtu anapiga mdomo kwenye TV ujue kuna watu muhimu zaidi yaje wamekaa na kuandaa strategies. Selling ni sehemu ndogo sana kwenye marketing, kwa wale wasiofahamu!

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 01, 2008

    Mafuru congrats...
    hope you will now stop wearing the labels on your suits its embarasing

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 02, 2008

    wabongo tujaribugi kuapreciate,sio kusema watu masaa 24/7

    hongera bwana,usiwasikilize wanafki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...