Mr. Supu!!
Sometimes, at the small hours, we get so down that we need to fume it out.I am down and low. At the same time, have to serve the Satan to get my daily bread (night boxes).This is where you come in.
Will be so happy to hear from people I have not seen for many, many years.Those are people who the name “Sly Robbins” rings a bell. Since we gate crashed together a lot, these following old hits should bring many good gone feelings:
2.
Will appreciate if you post this massage in your blog kama msaada tutani And they can get hold of me on:
Thanx in advance
Blackmpingo
aka Sly Robbins

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2008

    Hivi hawa wabeba maboksi kama wenyewe wanavyojiita wakienda huku nje na kiswahili wanasahau...? Nachukia wanapoandika ujumbe kwa kiingereza chao cha kuangalia kwenye kamusi...jamani tafadhalini kiswahili!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2008

    Ni vizuri wakijitahidi kuandika kiingereza cha kuangalia katika kamusi kwani ndo njia pekee ya kujifunza. Hii ni sahihi hasa kwa sisi tuliosoma kwa kukariri (sentensi nyoofu za kiingereza unazoweza kuzijua ni archimedes principle na Newton's laws tu). Ni aibu na hasara saa zingine kwani unakua na kitu cha kueleza ila inakua tabu kukitoa kinywani.

    Kiswahili kimejaa tu hapo nyumbani na haitumii msuli kukifahamu. Wacha wabeba maboksi wajichue na lugha za mbali kwani ndo zinawapa mlo.

    Ignorant, Jeremani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2008

    Mr. Michuzi!
    Asante sana kwa kuweka ujumbe wangu. Kweli sikutegemea kuwa utakuwa so fast. Kwa taarifa yako, mbali ya kuwa e-mail sio full (inakosekana .com) nimepata barua tatu toka kwa watu ambao siwafahamu, ila waliniunga mkono katika dakika ngumu na mbovu kwangu. Natoa shukrani kwako na wote walioitikia. Asanteni sana.
    Juu ya kutumia kingereza: Jamani hii ni lugha tu. Miaka zaidi ya 40 naitumia sambamba na kiswahili, kipare na kingoni. Bahati mbaya mie sio mtaalamu wa lugha hivyo inawezekana naweka makosa humo ktk kuandika. Can tell u that I never used dictionary. Na wewe unayenisagia hapo juu ondoa inferior complex. Pia sign up hata kwa jina feki tukujue!!!
    blackmpingo@hotmail.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2008

    Brother ..wape usahauri wote wa Tanzania wenye mazoea ya kukwea pipa na kwenda South! Sasa kwa waka wote
    http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=vn20080518113014956C157801

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2008

    Black umenipeleka mbali sana. Nafikiri nikikutia machoni tunaweza kukuta kuwa tunafahamiana. Ila urafiki wa uzeeni sitaki. Bahati mbaya watu wa age yetu kwenye net sio wenyewe saana. Baada ya baba zetu kustaafu au kung`atuliwa na kuhama O`Bay wengi wetu mambo yamekuwa magumu. Hivyo sidhani kama kuna wanaokufahamu wanaingia humu.Karibu kijuani uombe mizimu ya kikwenu ili usije jitundika kitanzi.
    Babu wa ex chole, mkadini nk

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2008

    ANONYMOUS WA KWANZA HUKO JUU,U R A HATERR!! WE BEBA BOKSI TUKUONE UTAINGIZA SH NGAPI,ALAH!...ukipewa visa ya bure,hutoondoka bongo wewe??

    big up blackmping!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...