Familia ya Mzee Wilfred Shangali wa Moshi Kilimanjaro, ina majonzi makubwa na inatangaza kifo cha mpendwa wao Pius Wilfred Shangali, kilichotokea tarehe 30/04/2008 huko Dresden, Ujerumani.
Marehemu aliugua maradhi ya mapafu.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kutoka Ujerumani inafanywa na inatarajiwa kuwa mwili utawasili siku ya jumatano tarehe 21/05/2008 katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA).
Mipango ya mazishi inaendelea kupangwa na taarifa kamili itatolewa, mara tu mwili utakapowasili nchini.
Marehemu Pius alizaliwa tarehe 18/09/1976 huko Mwanza.
Alisoma secondary (O-Level) katika shule za sekondari za Mawenzi-moshi na Magamba-Lushoto, kati ya miaka ya 1991 - 1994.
Baada ya kumaliza masomo ya O-Level alijiunga na sekondari ya Tanga (Tanga School) kati ya miaka ya 1995 – 1997.
Alijiunga na chuo kikuu Dar es salaam katika kitivo cha uhandisi mwaka 1998 na kuhitimu shahada ya uhandisi mwaka 2002.
Alikwenda Ujerumani kusomea shahada ya pili ya uhandisi wa maji mnamo mwaka 2005.
Kwa salamu za rambirambi wasiliana kwa namba za simu zifuatazo
Wilfred Shangali (0784535030), Dr. Theophil W. Shangali (0767101012),
Christa W. Shangali (0714125000)
Tulimpenda Pius Lakini Mungu Amempenda Zaidi
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE

KWA NIABA YA WANA T-98 (AMBAYO MAREHEMU ALIKUWA MWANACHAMA) TUNAPENDA KUSEMA TUMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA TAARIFA ZA MSIBA HUU. PIUS (AU MTUMISHI KAMA TULIVYOMZOEA) ALIKUWA MTU WA MUNGU. PUMZIKA KWA AMANI EWE MTUMISHI.
ReplyDeleteEng. JUMA H. MSONGE
KWA NIABA YA T-98 (FOE)
poleni na msiba mzee, nafikili tunajuana..... lets meet @kailembo_2000@hotmail.com
ReplyDeleteFamilia ya Shangali, ndugu, jamaa na rafiki wa Pius poleni.
ReplyDeletePoleni wanaKibo wa darasa moja na Pius - Evarist, Derek, Eugen, Luca, Raymond, Frank, Lekashingo V, Musa, Moses, Magid MMM, Harold, Abdallah, Ndigela, Tumaini, Walter, Yatera G, Ruth, Rose, Joy P Minja, Joy P Massawe, Joy P Minde, Salome T, Pudensia, Saum, Fatma, Akwilina, mimi mwenyewe... darasa la watu 64, hapatoshi hapa...
Kwa Heri Pius!
nukta77.com
My prayers are with family and friends.
ReplyDeletePius was a good friend and it is hard to believe that he is gone. I will always remember the last conversation we had and advice u gave me just a week b4 ur death.
Even though my heart is heavy with sadness but I'm comforted knowing you are in peace at Heaven.
Blessed be the name of the Lord.
Poleni wote.
poleni sana wanafamilia wote kwa msiba wa pius.alikuwa kijana mpole na mkmya sana.pole sana dada betriece.
ReplyDeleteNilikutana na Pius alipokuwa akifanya masomo yake ya A-Level pale Tanga Tech. Wakati huo mimi nilikuwa form one. He was so nice na kwa kweli he was a true man of God. Im gonna really miss him.
ReplyDeleteBwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina la Bwana libarikiwe!!
Godlove, Arusha.
PIUS WAS MAY SPECIAL NATURAL AND ACADEMIC FRIEND LOOK AT THESE INCIDENCE. TULIENDA FORM ONE MAWENZI SEC ALIKUWA 1C2 NILIKUWA 1C1. TUKAHAMA MAWENZI FORM 2 AKAENDA MAGAMBA NIKAENDA SAME SEC, MATOKEO YETU YA FORM TWO WASTANI WA HAMSINI. MATOKEO YETU YA FORM 4 SAME DIVISION SAME POINTS. TUKAENDA SHHULE MOJA HIGH SCHOOL TANGA SCHOOL KWENYE GAZETI JINA LAKE KWANZA ALAFU JINA LANGU LINAFUATA. MATOKEO YA FORM SIX SAMEPOINTS SAME DIVISION. TUKAENDA UNIVERSITY SAME DEPATMENT CIVIL ENGINEERING.I CANT EXPRESS HOW I WILL BE MISS HIM.
ReplyDeleteTUMAINI GEOFREY TEMU
tgeofrey@yahoo.com
Hey Pius, only sentence word can describe you bro. A man after God's heart. We learnt a lot from your insight wisdom from Tanga tech. You will always remembered as a man of God who relentlessly pursued God regardless of any situation. We will greatly missed you, but we believe it has pleased God to take you home while you are such young. May God grant peace, encouragement and comfort to your family throughout this hard time.
ReplyDeleteMusa Moses....katawita@yahoo.com