waziri mkuu mh. mizengo pinda akiwa na viongozi wa chama cha wenye viwanda na biashara na kilimo kwenye ukumbi wa diamond jubilee hall huko dar leo. shoto ni waziri wa viwanda na baishara dk. mary nagu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2008

    Michuzi mbona unamfuatilia sana Mzee Pinda kila anapoenda?Hadi Theatre!Mpiga picha wa P.M(Fredy Maro?) ni Rafiki yako sana eeh?Au mambo fulani ya usalama wa Taifa.Anajitahidi sana kukutumia hizo picha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2008

    kila aliesoma popatlal secondary tanga miaka ya nyuma ya 80 hadi 90 atakuwa anamjua huyo teacher jumbe menye.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2008

    Menye mtaalamu wa soka Coastal union alikuwa anawasaidia wakati hawana Kocha.Mtu safi sana hana makuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...