Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha maalbino Tanzania Ernest Kimaya, wakati wa Maadhimisho ya siku ya Maalbino Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi moja jumapili hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2008

    Duh!!!
    Nimefurahi sana kwa kuiona hii picha ya ndugu yangu Ernest katika kuadhimisha siku ya Maalbino Tanzania. Ni jambo la kushukuru sana kuwa serikali inajali na kuthamini juu wa ndugu zetu hawa, I hope serikali pia itafanya zaidi juu yao katika kuwapa nguvu zaidi za kupambana na mazingira yao ya kila siku. Najua wana mipango mingi lakini uwezo unakuwa mdogo,wana matatizo ya kila siku ya ngozi, coz jua nin kali sana nyumbani, kuona nk, wanahitaji miwani, losheni maalum kwa ajili a ngozi zao nk nakumbuka ndg Abdillah (Albino) aliwahi kunidokeza kuwa wanajaribu kuungaa na vyama mbalimbali vya Maalbino vilivyoko nje ya nchi ili kujenga msingi mkubwa zaidi katika kujuana na kushirikia. Hongereni sana kuwa kuadhimisha siku hii muhimu kwenu na kwetu sote, M/Mungu atujaalike kila la kheri, na kidumu chama cha Maalbino nchini Tanznia. Salam kwa viongozi wote, Mohamed (albino)etc Mdau - Muheza Tanga

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2008

    Haji Sunday uko wapi au wewe sio albino? ah! ah! najua uko hapo livistone kwenye kijuwe unacheza keramu poa Haji

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2008

    Hawa watu hawana dili yoyote serikali ingewatafutia sehemu yao ili tusiendelee kuwaua.Wangepelekwa zanzibar na kufungiwa huko mazima hamna kutoka na watu wote kamili waletwe bara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...